Shaaban Haufi
Member
- Apr 18, 2014
- 75
- 10
Jaman kuna taarifa zozote kuhusu ya kutoa post za form five 2014?naomba tuambizane bac kama kuna aliye ckia tangazo lolote kuhusu post zetu,ili tuandae nauli kabla bado mapema
Kwa tetesi zilizopo wakuu wa shule ndo wanategemea kuanza kikao leo tar 20 so tegemea post mwez wa cta mwishoni.
\dah mbona wana zi chelewesha hvo aisee