kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,896 Jan 2, 2021 #21 Billions said: Kipi ambacho hujaelewa poyoyo wewe Click to expand... Hebu acha uhanitthi basi
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,896 Jan 2, 2021 #22 Billions said: Narudia swali kipi ambacho hujaelewa hapo team domo, au unajitoa ufahamu, kama unajua sana English nenda kamfundishe bladfaken Click to expand... Watu mliozaliwa kwenye mikorosho mnashida sana
Billions said: Narudia swali kipi ambacho hujaelewa hapo team domo, au unajitoa ufahamu, kama unajua sana English nenda kamfundishe bladfaken Click to expand... Watu mliozaliwa kwenye mikorosho mnashida sana
kichaa cha mbwa Member Joined Aug 14, 2015 Posts 52 Reaction score 23 Jan 2, 2021 #23 Jane Lowassa said: Katuangusha sana washabiki wake. Yaleyale ya Morrison! Click to expand...
MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,913 Reaction score 9,012 Jan 2, 2021 #24 Mlatinoh king said: Diamond alivo na karoho kagumu hatothubutu kujibu Click to expand... Huyo Harmonize tangu zamani huwa anajitahidi sana kuonesha hana matatizo na anataka amani lakini wenzake ni chatu kweli kweli. Yeye asubiri siku wakimuua au akibuma ndio atajua kuwa wako serious.
Mlatinoh king said: Diamond alivo na karoho kagumu hatothubutu kujibu Click to expand... Huyo Harmonize tangu zamani huwa anajitahidi sana kuonesha hana matatizo na anataka amani lakini wenzake ni chatu kweli kweli. Yeye asubiri siku wakimuua au akibuma ndio atajua kuwa wako serious.
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,088 Reaction score 47,044 Jan 2, 2021 #25 Billions said: Harmonize anaimba taarab una kichaa Click to expand... Ndio aina fulani ya taarabu iliyochangamka
Billions said: Harmonize anaimba taarab una kichaa Click to expand... Ndio aina fulani ya taarabu iliyochangamka
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,321 Reaction score 22,263 Jan 2, 2021 #26 Inabidi aombe poo tu na Kiingereza cha Form two.
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,747 Jan 2, 2021 #27 Ovyoo sana
Chief Sam JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 2,577 Reaction score 4,864 Jan 2, 2021 #28 kelphin kepph said: Dada hv uko sawa wew Click to expand... Bado teuzi zinampa stress ,mpuuze mkuu