Post kama Polepole: Hongera CCM mpya, CCM madhubuti

Post kama Polepole: Hongera CCM mpya, CCM madhubuti

Mh.Lissu kusafirishwa kwa ndege hadi Nairobi...

.. ni juhudi za dhati na ni mafanikio ya CCM mpya
Ningekuwa na ile taarifa ya pongezi ningeiweka aisee.
CCM Mpya.
 
Nimewazaaaaaaa,nikafikiri kuwa na mimi naweza kupost kama Polepole hapahapa JF

1. Leo nimeokota hela. Nakishukuru sana chama cha mapinduzi. Hii ndio CCM mpya buana (In H.Polepole's voice)

2. Hongera sana Diamond kwa kushinda tuzo za Afrima kwa mara nyingine. Hakika hii ni kazi adhimu ya CCM. (In H.Polepole's voice)

3. Mtandao wa Facebook umefikisha jumla ya watumiaji Bilioni 7 duniani kote. Hizi ni juhudi za chama cha mapinduzi. Hongera CCM Mpya. (In H.Polepole's voice)

4. Nyama ya kitimoto imedhibitishwa kuwa tamu kuliko nyama ya kuku. Hongera CCM Mpya kwa kazi hii kubwa.

5. Diamond kutoa laki 5 kwa wiki kwa Hamisa ni matunda ya CCM mpya.

Hebu na wewe jaribu kupost kama Humphrey Polepole!

Credit: Dr.Mabala
Leo Mcheepuko wangu umenipa mambo matamu sana ambayo sijawahi kupewa toka nimezaliwa. Yaani mpaka nimewaza why hakuwahi kunipa hivi vitu adimu,
Hakika hizi ni juhudi za chama cha mapinduzi.
Hongera CCM Mpya.
 
mkeka bet

biko

m bet

hivi ni viwanda ambavyo ni mafanikio ya ccm mpya

ccm hoyeeee
 
Back
Top Bottom