Post kama Polepole: Hongera CCM mpya, CCM madhubuti

Post kama Polepole: Hongera CCM mpya, CCM madhubuti

Tulikuwa tunakula Milo miwili mpaka mmoja ,nao wa kubahatisha bora liende ni juhudi za ccm ongera sana
 
Hatimaye Bashite ameonyesha vyeti, hii ni moja kati ya jitihada mahsusi za CCM mpya chini ya Daktari JPM a.k.a Bulldozer. #KidumuChamaTawala#PostKamaPolePole
 
Mh.Lissu kusafirishwa kwa ndege hadi Nairobi...

.. ni juhudi za dhati na ni mafanikio ya CCM mpya
 
Back
Top Bottom