Post kama Polepole: Hongera CCM mpya, CCM madhubuti

Post kama Polepole: Hongera CCM mpya, CCM madhubuti

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,043
Reaction score
134,324
Nimewazaaaaaaa,nikafikiri kuwa na mimi naweza kupost kama Polepole hapahapa JF

1. Leo nimeokota hela. Nakishukuru sana chama cha mapinduzi. Hii ndio CCM mpya buana (In H.Polepole's voice)

2. Hongera sana Diamond kwa kushinda tuzo za Afrima kwa mara nyingine. Hakika hii ni kazi adhimu ya CCM. (In H.Polepole's voice)

3. Mtandao wa Facebook umefikisha jumla ya watumiaji Bilioni 7 duniani kote. Hizi ni juhudi za chama cha mapinduzi. Hongera CCM Mpya. (In H.Polepole's voice)

4. Nyama ya kitimoto imedhibitishwa kuwa tamu kuliko nyama ya kuku. Hongera CCM Mpya kwa kazi hii kubwa.

5. Diamond kutoa laki 5 kwa wiki kwa Hamisa ni matunda ya CCM mpya.

Hebu na wewe jaribu kupost kama Humphrey Polepole!

Credit: Dr.Mabala
 
Ugunduzi wa gesi ni mafanikio makubwa kwa serikali ya ccm na Tanzania mpya ya uchumi wa viwanda ccm hoyeee ][[HASHTAG]#polepole[/HASHTAG]
 
Tumeshuhudia mabadiliko makubwa na Tanzania Mpya inakuja kivitendo na sikimaneno. Tumeshuhudia uhimizaji wa maendeleo na kuwabana wapiga dili wote kitu kilichoshindikana kwa miongo kadhaa. Hongerha CCM lakini Hususan ni mwenyekiti wake.
 
Mke wa jirani ana mimba ni matunda ya ccm
Kuna jamaa mmoja ni rafiki yangu ametengwa na ukoo kwa kumtukana mjombake hayo yote ni matunda ya ccm
 
Back
Top Bottom