Huwezi anza upya sbb utakuwa ni km umelog out tu. Ila hiyo ni baada ya kupata username yako na password..ok hata kama hujamaliza kujaza sio kwamba utaanza upya ukikata
ubarikiwe mkuukinachohitajika ktk hivyo ni id
una records number tu, then mwish wa siku unaambatanisha na form zako kuzituma posta zikiwa zimegongwa mihuri ya mahkama etc.
Kuna sehemu wanakuuliza pale kafanya mtihani mara ngapiJaman nisaidien kn Mdogo wangu ali reseat 4m 4 alaf akafanya la cx mwaka jana atatmia index number zipi au atajazaje hyo form?
Mkuu hii birth certificate ni lazima sana maan yangu iliunguaga so inabidi nifanye mwengine wa mpya au sio muhimu san? Na vp kuhusu sisi wa diploma hapo kwenye matokeo au kuna form tofauti maan mtihani bado hatujafanya bado? kama hutojali nisaidie kwa majibu hyo mkuu.ahsantehkinachohitajika ktk hivyo ni id
una records number tu, then mwish wa siku unaambatanisha na form zako kuzituma posta zikiwa zimegongwa mihuri ya mahkama etc.
Ndugu, ni maelekezo kuwa fomu inapaswa kujazwa kwa peni nyeusi tu?Huwezi anza upya sbb utakuwa ni km umelog out tu. Ila hiyo ni baada ya kupata username yako na password..
One step at a time.
Jaza kwanza maswala ya kuprint na kutuma ni baadae sana.
Jaza softcopy-print-jaza hardcopy kwa pen nyeusi tu- tafuta sahihi na mihuri yote inayohitajika-kacertify vyeti kwa mawakili au mahakaman-ambatanisha copy zenye mihuri toka kwa wakili-katume post kwa ems
Mkuu Hiyo Ni Kama Sheria Kwa Bodi Ya Mikopo Kuwa Fomu Zijazwe Kwa Peni Nyeusi tu!!Ndugu, ni maelekezo kuwa fomu inapaswa kujazwa kwa peni nyeusi tu?
Duh Wiki ijayo!! Aisee...Hapo mpaka next week kwa maelezo ya dawati la msaasa HESLB kwani unaonekana umemaliza F6 2016 na matokeo ya F6 2016 Bado hayajatoka. Ndo maana unakutana na error inayo kuambia wrong index number kwa sababu bado tokeo la F6 alijatoka. Kwa hio wana li shughulikia hili tatizo sasa na wadai kuwa wiki ijayo mambo yatakuwa tayari.
**********Vuta Subira****************
Hapo mpaka next week kwa maelezo ya dawati la msaasa HESLB kwani unaonekana umemaliza F6 2016 na matokeo ya F6 2016 Bado hayajatoka. Ndo maana unakutana na error inayo kuambia wrong index number kwa sababu bado tokeo la F6 alijatoka. Kwa hio wana li shughulikia hili tatizo sasa na wadai kuwa wiki ijayo mambo yatakuwa tayari.
**********Vuta Subira****************
NdioDuh Wiki ijayo!! Aisee...
system yao hiko sawa tu kwa walio maliza 2015 kurudi nyuma, in fact wame iboresha system yao na kuwa so sensitive ndo maana ina kataa, sio kama miaka ya nyuma.Wamekurupuka kuruhusu application ilihali hawajaimarisha system yao
Mbona mwaka jna tumetumia pen ya blue au nyeusi sahizi wamebadirisha?Mkuu Hiyo Ni Kama Sheria Kwa Bodi Ya Mikopo Kuwa Fomu Zijazwe Kwa Peni Nyeusi tu!!
Na Ukibugi tu Kutumia ink ya rangi nyengine basi imekula kwako!
Kwahiyo be careful sana Katima Kutumia peni trust me.
Unamuombea kama tuuu una detailz zake zote zinazo hitajika haina shidaWaliopo jkt wataombaje? mtu mwingine anaweza kuomba kwa niaba yake kama particular zake unazo? ie mzazi
Asante kwa maelekezoUnamuombea kama tuuu una detailz zake zote zinazo hitajika haina shida