Post: Data intelligence manager (expert in excel) anahitajika

Salamu wakuu!

Kuna jamaa yangu amenitext, ofisini kwao wanatafuta mtaalam wa kucheza na data (data analyst) wametangaza sana hiyo nafasi lakini bado hawajafanikiwa kupata

Kwahiyo kama unamfahamu mtu ambaye yuko vizuri kwenye excel ni PM nitakutumia contacts zao ukafanye nao interview.

Please note: kama unajua tu VLOOK UP na Pivot table/chart, au kudevelop basic formula za plus/minus, don't waste your precious time to even thinking of applying, na pia don't lie, kama unajua tu basic things sema but kwenye interview ukishajitambulisha tu jina lako unapewa laptop na data hapo hapo, on my experience wengi huchemka hapo, anapewa data then anatumia dk 20 kuzishangaa.......anatakiwa ambaye akipewa data anazisoma kwa dk 2 then ana produce report

Kwa kusisitiza, awe anajua kutengeneza templates, dashboards kwa kutumia slices (complex dashboards) in excel, power pivot na features kama hizo

Najua baadhi ambao wako vizuri, lakini ni wahindi na wakenya and natamani kazi kama hizi zianze kufanywa na watanzania ndo maana nkaipost hapa jukwaani

Lakini pia nivizuri kama haufahamu vizuri excel ukaanza kujifunza.....tulitoka analog tukaingia digital, sasa hivi tuna move kwenda kwenye data, and Data analysts ndo watakaokua wanatengeneza hela in five years to come.......!!!

All the best
Namba zako tafadhali
 
toa na mwongozo wa wapi na nanma ya kuisoma kwani tupo wengi tunaoamini kuwa tunaijua Excel lakini kumbe ni kwa kiwango cha chini sana kupanga formula kwenye cells kumbe its far beyond that
 
Itakuwa ni UCC (University of Computing Centre)
 
Lakini pia nivizuri kama haufahamu vizuri excel ukaanza kujifunza.....tulitoka analog tukaingia digital, sasa hivi tuna move kwenda kwenye data, and Data analysts ndo watakaokua wanatengeneza hela in five years to come.......!!!

All the best

toa na mwongozo wa wapi na nanma ya kuisoma kwani tupo wengi tunaoamini kuwa tunaijua Excel lakini kumbe ni kwa kiwango cha chini sana kupanga formula kwenye cells kumbe its far beyond that
Ukiachana na kusomea, sio yote yanafundishwa ila mengine utayafahamu kwa ku practice au kumpata mtu anaeijua vizuri akakuelekeza

Ni hivi, unaamua kwamba nataka report inayoonesha kitu flani, then unaanza kufikiria ni formula gani au tools zipi utumie zikuletee hayo majibu

So kuna vingine huwezi kuvisomea popote labda kwa tutorial za youtube n.k
 
Excel naitumia kila siku ndio ofisi yangu, ilinigharimu sana UCC, ukiijua asew utapiga pesaa

mm sahivi napiga pesa za walimu wa msingi kwa kujumlisha na kutoa
Kwa excel ya UCC bado sana hivyo vitu amesema mleta mada.

Bora kasome kozi ya bure kwenye mtandao wa Microsoft kuna kozi ya MICROSOFT POWER BI bure kabisa. Miezi miwili au mitatu ukiwa makini unafaulu hiyo interview yao 100% marks.

Mimi nilisoma kidogo nika achana nayo nikaenda kwenye MICROSOFT BUSINESS INTELLIGENCE (MSBI) ile yenyewe nililipia dola kadhaa mtandaoni kwa wahindi wa huko India nayo sijamaliza majukumu mengi.
 
Ukiachana na kusomea, sio yote yanafundishwa ila mengine utayafahamu kwa ku practice au kumpata mtu anaeijua vizuri akakuelekeza

Ni hivi, unaamua kwamba nataka report inayoonesha kitu flani, then unaanza kufikiria ni formula gani au tools zipi utumie zikuletee hayo majibu

So kuna vingine huwezi kuvisomea popote labda kwa tutorial za youtube n.k
Kuna website ya microsoft virtual learning centre wanafundisha bure kabisa kozi ya Microsoft Business Intelligence Power BI kwa video na text.

Kuna lab kibao za mazoezi kila kitu.
 
Okay, sikuwa nafahamu kama ni bure, nadhani hiyo ni platform nzuri zaidi ya watu kujifunza
 
Kaisome mama, isome with passion!!! Baada ya miaka kadhaa nyie ndo mtakua deal mjini kuliko hata mainjinia, maana mainjinia na makampuni yote yatafanya kazi kwa kutumia data, na idadi yenu itakuwa ndogo, huu ndo muda wa kufanya hivyo!! Mi nilibhatika huku kwa watu nikajifunza japo sijui yote, ila hayo niliyoandika nayaweza kwa asilimia kama 88 hivi, tuendelee kujifunza!!! Data ndo kila kitu in decision making hasa kwa makampuni makubwa!!!

Inaonekana biashara ya Data Mining & BI inaanza kukua Tanzania.
 
Nisaidien link au site ambayo nitapata basic excel mazee... Maana huko kwenu ni pazito....

Mi najua kujumlisha kutoa... Kutafta min.. Maximum... Average .nk.

Nahitaji mautundu zaid... Muongozo plz
 
Mkuu ni lazima excel? Vipi kwa mtu anyefahamu anayefahamu R au SQL?? Kwasababu hizi software zinafanya kazi vizuri hata kuliko excel..
 
Kaisome mama, isome with passion!!! Baada ya miaka kadhaa nyie ndo mtakua deal mjini kuliko hata mainjinia, maana mainjinia na makampuni yote yatafanya kazi kwa kutumia data, na idadi yenu itakuwa ndogo, huu ndo muda wa kufanya hivyo!! Mi nilibhatika huku kwa watu nikajifunza japo sijui yote, ila hayo niliyoandika nayaweza kwa asilimia kama 88 hivi, tuendelee kujifunza!!! Data ndo kila kitu in decision making hasa kwa makampuni makubwa!!!
Saaaafi sana ushauri mzuri hasa sisi wataalamu wa haya mambo ni muhimu kuwa kinyonga
 
Nisaidien link au site ambayo nitapata basic excel mazee... Maana huko kwenu ni pazito....

Mi najua kujumlisha kutoa... Kutafta min.. Maximum... Average .nk.

Nahitaji mautundu zaid... Muongozo plz
Hata mimi nasubir wajuvi
 
Nakumbuka wakati nipo chuo lecturer alikuwa anafundisha miscrosoft excel watu walikuw wanazarau kipindi cha computer kwa vile wanasoma course zingine lecturer akasema mtakuja kukumbuka, leo ndo naamini
 
Mi nina videos za excell kama 80 hivi,kila siku nasoma,Excell ina mambo mengi sana,watu wanadhani excell ni kujua formula za sum,if n.k...kilichowahi nikuta kwenye interview flani siji sahau!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm mwenyewe yalinikuta hayo niliitwa interview na wafilipino flani hivi yaani interview yote ilikuwa ni word na Excel tu tena practical na huku amekusimamia mbele ya pc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom