Posho ya vikao ikifutwa, 2020 tutakuwa na wabunge halali bungeni

Per diems zipo pale pale! Hiyo sitting allowance ni ya kukalisha masaburi kwenye viti vya bungeni!!

Basi ifutwe tu...maana haina maana. Yaani kuweka makalio kwenye sofa ndiyo ulipwe hizo makalio allowances!!! Huu ni uchakachuaji wa kiwango cha juu sana
 
Basi ifutwe tu...maana haina maana. Yaani kuweka makalio kwenye sofa ndiyo ulipwe hizo makalio allowances!!! Huu ni uchakachuaji wa kiwango cha juu sana

Eti suruali na sketi zao zinachakaa kwa kukaa saa nne mfululizo!!!
 
Hata Mshahara a Rais ni mkubwa mno apunguze basi hata analu kwa 50% pesziende kwene miradi otherwise ktakuwa na BIAS
 
Na Rais ajipunguzie mshahara angalau kwa 50%. Mshahara anaolipwa ni mkubwa mno. Punguzo liende kusaidia miradi ya maendeleo
 
Back
Top Bottom