Pikabombz Member Joined Jun 26, 2014 Posts 58 Reaction score 15 Jun 30, 2014 #1 Baada ya kuondolewa timu karibu zote za Afrika huku tukisubiri Waalgeria nao wapigwe kibuti Waafrika tumepata stahili?
Baada ya kuondolewa timu karibu zote za Afrika huku tukisubiri Waalgeria nao wapigwe kibuti Waafrika tumepata stahili?
M MOSSAD II JF-Expert Member Joined Apr 14, 2013 Posts 3,971 Reaction score 947 Jun 30, 2014 #2 Pikabombz said: Baada ya kuondolewa timu karibu zote za Afrika huku tukisubiri Waalgeria nao wapigwe kibuti Waafrika tumepata stahili? View attachment 168101 Click to expand... mtakapoacha kuchangia vitanda hospitalini na watoto wenu kuacha kukalia mawe na matofali huku wakioga vumbi ndipo mtakapo fanya vizuri world cup!
Pikabombz said: Baada ya kuondolewa timu karibu zote za Afrika huku tukisubiri Waalgeria nao wapigwe kibuti Waafrika tumepata stahili? View attachment 168101 Click to expand... mtakapoacha kuchangia vitanda hospitalini na watoto wenu kuacha kukalia mawe na matofali huku wakioga vumbi ndipo mtakapo fanya vizuri world cup!