galindas
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 978
- 1,304
Hazina lakini kwenye screen inabadili mafuta yaliyopo kuwa kms, na geji yako pia itaendelea kusoma kama gari zingine. Uzuri wa brevis ukijua safari yako ni km ngapi huna hofu ya mafuta sababu kila kitu kinaonesha, mpaka namna unavyokanyaga mafuta inakueleza utatembea km ngapi kwa uendeshaji huoHivi hizi Brevis hazina button unayoweza kubonyeza ikakuaonesha fuel consumption i.e ni 8 km/L kwenye ile navigation panel yake au? Maana Subaru Legacy za kuanzia 2003, Harrier model zote/klugger baadhi ya model, Crown za 2004 na kuendelea zote zinaonesha je kwa mliomiliki hizo Brevis hazina hio Option au maana wengi ni kama vile wanafanya makadirio