poromesheni zingine bana mhh

poromesheni zingine bana mhh

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
nimepita manzese ajenitina leo wanapouza majeneza nimekuta promesheni ya kuuza majeneza, muuzaji alikuwa ana nadi nunua moja leo upate mawili ofa ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru
 
Back
Top Bottom