Porojo za Wassira kuhusu Dr. Slaa

Porojo za Wassira kuhusu Dr. Slaa

Mke ambae hamjafunga ndoa?

Sababu za kibinafsi?

Kwi kwi kwi teh teh teh!

Josephine ana watoto wawili wa Slaa? kwi kwi teh teh teh! hiyo talaka alipewa lini, kaolewa tena lini? kazaa tena watoto wawili lini?
Naanza kuamini kuwa huyu DR.wa CHADEMA aifukuzwa upadre
 
Hivi kuna aina ngapi ya NDOA? Nenda darasani mama, tena kidato cha pili civics. Yaani akili yako ni sawa na std7.

Hata ziwepo aina mia za ndoa. Jee, kuna aina ngapi za talaka kwenye ukatoliki?
 
Mkuu usikurupuke, jaribu kujisomea na upate habari iliyokamilika.Unajua kuwa Josephine ni mwanamke wa pili kuzaa na Dr!.

Mwanamke wa kwanza alimuoa? au alimtia mimba bado akiwa padri? Josephine amemuoa? kwa ndoa ipi wakati mpaka leo hajapewa talaka na mahakama wala kanisa? Jee, mume wa kikatoliki ana ruhusa ya kutowa talaka yeye mwenyewe? bila mahakama bila kanisa?
 
Upuuzi mtupu hapa! Alichomaanisha dr.Slaa ni kwamba anaishi na mwanamke na ana watoto which means yeye si padri tena! Sasa tatizo liko wapi hapa kama si upuuzi wa kufuatilia mambo binafsi ya watu!? Ni magamba wangapi wanaoendesha maisha yao kwa stail hyo ya Slaa tena na ma binti wengine kibao!? Upuuzi huu!
 
Back
Top Bottom