Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Brain washed by jiweKama kupiga picha na Muzungu ndo maendeleo Afrika leo hii ingekuwa ni first World, Korea haimo hapo lkn ni tajiri mara 100 ya Rwanda na Kenya!
Brain washed by jiweKama kupiga picha na Muzungu ndo maendeleo Afrika leo hii ingekuwa ni first World, Korea haimo hapo lkn ni tajiri mara 100 ya Rwanda na Kenya!
Tupe kwanza faida za safari zaidi ya 400 za jk alizokuwa akienda huko na kukutana na hao jamaa kila mara??
Kwa mtanzania kama wewe ni tabu sana kufahamu,Kikwete aliweka Tanzania katika ramani ya Dunia,Viongozi wakubwa wakubwa wa dunia walikuja Tanzania pamoja na wafanya biashara wakubwa wakubwa wa nchi zao..,kiasi ambacho majirani zetu Kenya wakaaza kuona vivu wamafanikio yetuTupe kwanza faida za safari zaidi ya 400 za jk alizokuwa akienda huko na kukutana na hao jamaa kila mara??
Tangu lini uhusiano wa kibiashara ukawa mzuri? Hapa ndani kwetu wafanyabiashara hatupendani sisi kwa sisi tunapigana pini,tunalogana,tunapigana risasi na kufanyiana hila za kila aina. Unakumbuka ugomvi wa Manji vs Mengi?? Clouds vs Diamond?? Unafuatilia jinsi wafanya biashara wa Tanzanite wanavyouana kwa shaba Arusha??Sifikirii kama kua neema yoyote Wakenya watapendelea na sisi tupate,Uhusiano wa kibiashara sisi na majirani zetu sio mzuri hata kidogo...
Wewe ndio mbumbumbu namba moja...hebu nitajie bidhaa ambazo zilitakiwa kuuzwa toka Tanzania kwenda USA kupitia huo mkutano VS bidhaa zinazotakiwa kuingizwa kutoka USA.Kwa mtanzania kama wewe ni tabu sana kufahamu,Kikwete aliweka Tanzania katika ramani ya Dunia,Viongozi wakubwa wakubwa wa dunia walikuja Tanzania pamoja na wafanya biashara wakubwa wakubwa wa nchi zao..,kiasi ambacho majirani zetu Kenya wakaaza kuona vivu wamafanikio yetu
Katika tafrija kubwa ambao haijawahi kutokea Afrika ni pale Kikwetu alipowaalika wafanya biashara wa wakubwa wa wameraekani weusi kuja kufanya mkutano Arusha,..
Soko la Marekani chini zinaligombania lakini katika nchi chache waliopewa kufanya biashara moja kwa moja na Marekani Tanzania ilikuwemo,nafikiri katika Afrika nzimakuna nchi kama tano tu zimepewa nafasi ya kufanya biashara moja kwa moja na Marekani,;;
Watanzania ni mambumbu wameshindwa kuitumia hiyo "Opportunity" tuliopea na Marekani,kwasababu ya watu kama wewe ambao hamjui vipi dunia inafanya kazi,hamuoni umuhimu wa raisi wa nchi kukutana na wenzake na kupanga maendeleo za nchi zao
Hayo ni machache tu..Mkuu
Wabunge wenu ndio vilaza wanaouthubutu kuongelea waraka bungeni...dunderheadsHujaelewa kabisa hoja. Hoja ni kuwa tunaacha mambo ya muhimu badala uake tunahangaika na mambo ya kipuuzi kama yale ya kudhibiti nyaraka.
Mlizoea kwenda nje kula perdiem halafu mnarudi na mipango mikakati !Kilele cha maamuzi ya kamati kuu ya CCM 2015 ndiyo matokeo ya unachokishuhudia mkuu, unachokishangaa ni kipi ndugu yangu?
Imeifikisha wapi tanzania kiuchumi zaidi ya kuishia mikataba isiyoinufaisha tanzania..umejaribu kufuatilia kuona hizo nchi tano zimenufaikaje kwa kutrade na america..na je america imenufaikaje?? Si kila kitu cha kukurupuka..je nguvu yako una uwezo wa kukabiliana nao kiuchumi..miaka kadhaa imepita mlikuwa mnalia kuhusu kenya kuchukua ajira na wakataka kuchukua ardhi hadi magufuli akagoma kusaini mkataba..eti leo mnataka kuendana na ulaya..si kila kitu cha kukimbilia ndugu..pale watu wapo kulinda nchi zao na kuangalia namna ya kuchuma from africa..umesahau pamoja na safari za bush tuliishia kupeana net.Kwa mtanzania kama wewe ni tabu sana kufahamu,Kikwete aliweka Tanzania katika ramani ya Dunia,Viongozi wakubwa wakubwa wa dunia walikuja Tanzania pamoja na wafanya biashara wakubwa wakubwa wa nchi zao..,kiasi ambacho majirani zetu Kenya wakaaza kuona vivu wamafanikio yetu
Katika tafrija kubwa ambao haijawahi kutokea Afrika ni pale Kikwetu alipowaalika wafanya biashara wa wakubwa wa wameraekani weusi kuja kufanya mkutano Arusha,..
Soko la Marekani chini zinaligombania lakini katika nchi chache waliopewa kufanya biashara moja kwa moja na Marekani Tanzania ilikuwemo,nafikiri katika Afrika nzimakuna nchi kama tano tu zimepewa nafasi ya kufanya biashara moja kwa moja na Marekani,;;
Watanzania ni mambumbu wameshindwa kuitumia hiyo "Opportunity" tuliopea na Marekani,kwasababu ya watu kama wewe ambao hamjui vipi dunia inafanya kazi,hamuoni umuhimu wa raisi wa nchi kukutana na wenzake na kupanga maendeleo za nchi zao
Hayo ni machache tu..Mkuu
Tangu hao wafanyabiashara wamekuja kuna lolote ambalo tumewapita Kenya unaosema walikuwa wakituonea gere?? Hujui kuwa mwekezaji mkubwa kabisa wa hapa Tz ni Mkenya na siyo hao wezi wa dhahabu na kutusainisha mikataba ya kilaghai huku wakituacha hohehahe? Kwa taarifa yako tu; HAKUNA URAFIKI WA FAIDA kati ya mzungu na mwafrika,kama mzungu hafaidi zaidi yako huwezi kupata hata nafasi ya kupiga nae selfie!Kwa mtanzania kama wewe ni tabu sana kufahamu,Kikwete aliweka Tanzania katika ramani ya Dunia,Viongozi wakubwa wakubwa wa dunia walikuja Tanzania pamoja na wafanya biashara wakubwa wakubwa wa nchi zao..,kiasi ambacho majirani zetu Kenya wakaaza kuona vivu wamafanikio yetu
Katika tafrija kubwa ambao haijawahi kutokea Afrika ni pale Kikwetu alipowaalika wafanya biashara wa wakubwa wa wameraekani weusi kuja kufanya mkutano Arusha,..
Soko la Marekani chini zinaligombania lakini katika nchi chache waliopewa kufanya biashara moja kwa moja na Marekani Tanzania ilikuwemo,nafikiri katika Afrika nzimakuna nchi kama tano tu zimepewa nafasi ya kufanya biashara moja kwa moja na Marekani,;;
Watanzania ni mambumbu wameshindwa kuitumia hiyo "Opportunity" tuliopea na Marekani,kwasababu ya watu kama wewe ambao hamjui vipi dunia inafanya kazi,hamuoni umuhimu wa raisi wa nchi kukutana na wenzake na kupanga maendeleo za nchi zao
Hayo ni machache tu..Mkuu
Poa kaka,lakini nafikiri watakimbilia Kenya,kwasababu Kenya ndivyo wanavyotaka,wakati wa Kikwete Wakenya walikuwa wanalia sana vipi Tanzania tulivyokuwa tunawapika katika "International Relations",na kumbuka ujio wa Obama Tanzania Wakenya walilalamika sana..Kama kuna cha maana hao wazungu wenyewe watakuja huku vizuri huku siku hizi wanajileta wenyewe
Kaangalie utitiri wa viwanda vinavyojengwa Kenya hasa mji mpya wa Kitengela, linganisha na sisi wa Tanzania ya viwanda vya cherahani, ndipo utakapoona tofauti. Ni mambo kama haya tunayoyapuuza ndiyo yanayosababisha tuachwe nyuma. Dunia ya leo ili ufaidike na keki ya Dunia inategemea werevu wako wa namna ya wewe unavyojiingiza kwenye uchumi wa Dunia. Namna nyingine usahau.
Maana ya neno "Mkataba" ni makubaliano ya pande mbili,umbumbu wa watanzania,au rushwa wa wale walitia saini hiyo mikataba ndio wakulaumiwa..,kama mikataba mikubwa mikubwa yenye tija na nchi inatiwa saini Hotelini na mtu mmoja labda waziri wa Tanzania,unafikiria matokeo yake yatakuwa nini..Tangu hao wafanyabiashara wamekuja kuna lolote ambalo tumewapita Kenya unaosema walikuwa wakituonea gere?? Hujui kuwa mwekezaji mkubwa kabisa wa hapa Tz ni Mkenya na siyo hao wezi wa dhahabu na kutusainisha mikataba ya kilaghai huku wakituacha hohehahe? Kwa taarifa yako tu; HAKUNA URAFIKI WA FAIDA kati ya mzungu na mwafrika,kama mzungu hafaidi zaidi yako huwezi kupata hata nafasi ya kupiga nae selfie!
Hahaha sasa unataka kumlaumu nani kwa hilo,wakulaumiwa ni watanzania wenyewe,Mkataba ni makubaliano ya pande mbili,kama unaona mkataba mbovu kwanini unaukubali!??watanzania ni mambumbu au rushwa imetuzidi...tafakariImeifikisha wapi tanzania kiuchumi zaidi ya kuishia mikataba isiyoinufaisha tanzania..umejaribu kufuatilia kuona hizo nchi tano zimenufaikaje kwa kutrade na america..na je america imenufaikaje?? Si kila kitu cha kukurupuka..je nguvu yako una uwezo wa kukabiliana nao kiuchumi..miaka kadhaa imepita mlikuwa mnalia kuhusu kenya kuchukua ajira na wakataka kuchukua ardhi hadi magufuli akagoma kusaini mkataba..eti leo mnataka kuendana na ulaya..si kila kitu cha kukimbilia ndugu..pale watu wapo kulinda nchi zao na kuangalia namna ya kuchuma from africa..umesahau pamoja na safari za bush tuliishia kupeana net.