Porojo za siasa za waraka, washindani wetu Afrika Mashariki wanazungumza na Dunia

Mahusiano yanatengenezwa na kikao kimoja? Shida mnakua na gubu zenu tu kukosa hiki kikao ndo Tanzania imepoteza kila kitu?? Mbona vikao vingi tu viongozi wanahudhuriaga kwahio wangeenda kwenye hiki ndo shida zetu zote zingeisha kwa kikao hiki tu??
Saws
 
Sababu za kutokuwepo Korea unazijua!? Kwa hiyo kama Korea hawapo na ni tajiri mara 100 ya Rwanda na Kenya,nasi kutokuwepo kunatuweka kundi moja la utajiri na Korea!?


Hapana, bali nilichotaka kusema ni kwamba kuwepo na kupiga picha na Muzungu hakumaanishi kwamba nchi ndo inaendelea kuna ambao wengi hawapo kwenye Picha lkn nchi zao zimepata madili makubwa klk hao Kenya na Unyarwanda wanaona ujiko kupiga Picha na Muzungu!
 
Jirani ametuwakirisha, si unajua ni mdau wetu mkubwa, pia ni ndugu yetu.
wakwetu, hana Confidence na exposure

pili communication skills tatizo,

tatu hana strategic plan.
NNE hana creative and imaginative thinking, yeye anawaza kuua tu na kupambana, kama wale mabulls kwenye mchezo wa ng'ombe Kule spain,

tano Alisha zikashfu hizo nchi kaka wakubwa wa dunia eti, ni wezi
 
wakwetu, hana Confidence na exposure

pili communication skills tatizo,

tatu hana strategic plan.
NNE hana creative and imaginative thinking, yeye anawaza kuua tu na kupambana, kama wale mabulls kwenye mchezo wa ng'ombe Kule spain,

tano Alisha zikashfu hizo nchi kaka wakubwa wa dunia eti, ni wezi
Sasa si nendeni nyinyi mkawaombe kama wana nia ya kuwasaidia kwani watashindwa au kwani serikali imekataza na nyie kupewa misaada na hao watu
 
Ndio maana tumetulia kujipanga..kuna gaps nyingi sana za kuclear kabla hatuja engage kufanya deals na nchi ziliendelea..mikataba ya barrick kabla ya acacia ilisainiwa kwa miaka kadhaa..mfano buzwagi ilikuwa miaka 15..wawekezaji walifanya tafiti wakagundua kwa kiwango cha madini kilichomo+ mrabaha unaochimbwa kwa siku zidisha mwezi ndani ya hiyo miaka watakuwa wamemaliza kila kitu..na ndicho kilichotokea na sasa wanarejesha mashimo stamico..ufinyu wa kushindwa kudadavua na kufanya tathmini umetufikisha hapo..kwa sasa tunaviangalia vyote hivyo kwanza..magufuli sio rais wa mwisho tz..wacha tujipange ataenda rais ajaye hapo 2025..
Mtatulia mpaka mtakuwa baridi kama barafu,kama CCM haujaondoka madarakani Tanzania itazidi kuangamia,Kumbuka CCM ndio ile ile
 
Back
Top Bottom