Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,237
Nilikuwa naangalia kwenye tv ya ITV mchana huu jk akihutubia taifa huko msoma.
-Amesema rushwa hata Yesu ilimshinda kuimaliza (matusi kwa wakristo)
-Amesema mitume wa kuabudiwa ni wawili tu yaani Muhammadi na Yesu (matusi mengine haya)
-Amesema wanaokosa nafasi za uwakilishi kwenye kura za maoni wasiwe na wasiwasi kwani kama wajuavyo kuna nafasi nyingi tu za upendeleo na kuonesha kuwa yuko serious na anachokisema anasema kuna nafasi kama Ukuu wa mikoa na wilaya na nafasi zingine huwa wanapewa wanaoshindwa hivyo kawashauri wasikihame chama...
Naomba tujadili kauli hizi za huyu rais wetu mimi zinanipa utata na wakati mgumu sana siamini kama tuna rais aliye serious na mambo ya nchi na imani za watu pia