Pornography?


Sawa mkuu, lakini kwa sasa nitaendelea na hilo zoezi la kuscan disks na kama zina porn videos nadelete.
 
hivi wote wanaofanya hivi hawakufundishwa na wazazi wao ee?

Mara nyingi wanakuwa wamepata malezi ya kuungaunga, lakini pia wapo wachache wanaoamua kupotoka wenyewe kwa makusudi.
 

Key words zinazotumika mkuu ni probable encrypted/coded information associated with video/image/object, sio WYSIWYG.
 
lovito we acha tu...kuna hiyo njia yaa kuname ma file umeisema

na mie naifanyaga..lakin kuna wengine hawakatagi tamaa atafungua tu

ajue hilo empty ni empty kweli
mimi49 njoo rafiki yetu anapotea hivihivi tunamwangalia!
 
Last edited by a moderator:
Key words zinazotumika mkuu ni probable encrypted/coded information associated with video/image/object, sio WYSIWYG.
Em nipe somo mkuu, nimecapture video kwa kutumia IDM mfano, probability ya ile kua na encycrypted info ni kazi kidogo, unless ni kwa video files original au nimefanya screenshot ya picha then nikaifanya JPG say kwa photoshop, pale encycrypted info najua sanasana itakua imetoka kwenye software gani n such stuffs, sasa em nijulishe kama kuna sehemu kwenda deep zaidi kudecect kama kuna info unaweza kupata inayoashiria hiyo movie ni porn, hiyo computer akili imetoa wapi kujua hiyo ni porn huku ktu karekodi kwa simu au simu ukirekodi inajua kua huyu anarecord porn? na yenyewe ina encryption yake automatic au? hahaha ni kama unasema computer ina akili vile, ingekua WYSIWYG ningesema angalau unajatibu ku capture za juu juu, au ungeniambia ni original videos za porn maana hua zina encryption ndani ila hizi zilizotupiwa kwenye site ovyoovyo sidhani mkuu.. Labda kama wewe una ujuzi wa zaidi ya hapo unipe mfano ni encryption gani hiyo na iko wapi
 

Unalalaaama kama hutumii si wewe bana ,usituvurugie utaratibu wetu!
 

Sio video ambayo ni recorded, hapa nilikuwa naongelea video ambazo ni downloaded from internet, kuna kitu kinaitwa data about data - metadata. All in all lazima, utengeneze script/code au utumie ready made tool inayofanya hiyo detection.

Metadata: Metadata - Wikipedia, the free encyclopedia

Mkuu kama umeishi kijijini hasa ukiwa mdogo, na ulijihusisha na uwindaji wa wanyama hasa wale wanaokamata kuku, bila shaka ulikuwa na skills za kumtrack huyo mnyama, and you could even tell kama huyo mnyama aliingia kwenye shimo fulani na kukaa humo au kutoka, hata kukadria na muda aliokuwepo hapo - kwa hiyo hii script ni mwendelezo wa hiyo idea.
 
uzembe sana kukutwa na video za porn kwenye computer,mi huwa na-lock kabisa file ya porn nimei-name "kwaya".
nani atahangaika files zote afungue asikilize kwaya wakati kuna series na movies au comedy

Jamaa yangu Ye kaweka jina la mkukuta, mwingine katiba mpya
 
lara 1 ni ufoo nini, mbona haonekani tangu tukio?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…