Wewe umeweza kumtambua Rukia mwenyewe? Rukia wapo wengi cjataja baba hapo nimeandika story ili akisoma yeye mwenyewe ataweza kujuwa but no way mtu mwengine anaweza kumtambua. Na ndo maana hata cjaweka yeye alikuwa mwaka wa ngapi chuo au rafiki anaitwa nani.use common sense,
rukia angekua dada yako,ungefurahi anavyoanikwa humu..kama umeshindwa kumrespect at least fikiria ndugu zake,,, mxiewww
Mkuu cna contacts zake na wala mitandao ya kijamii nimemcheki cjui anatumia id gani.Ujinga ni mzigo mzito sana.
Wengi wanateseka na ujinga kama wako.
Eti hujaweka details zote.
Sasa si ungempigia kwa namba yake?
We work from Monday to Friday and party on weekends. Mkuu wewe inaonekana una hali ngumu ya kimaisha yaaani 24/7 unataka ufanye kazi jiangalie utakufa cku si zako.Mleta mada tafuta kazi itakayokushughulisha ili uachane na kuwaza vitu visivyo na manufaa kwako,
Tupo 2019 wewe bado unawaza mambo ya 2014? pengine hata yeye alinusa kiharufu toka kwako ila akapotezea tu,badilika aisee,wanaume hatupo hivyo.
Huyu anakera sana, anajuwa tabu wanazopata wanaume kwa dada zake?Mleta mada tafuta kazi itakayokushughulisha ili uachane na kuwaza vitu visivyo na manufaa kwako,
Tupo 2019 wewe bado unawaza mambo ya 2014? pengine hata yeye alinusa kiharufu toka kwako ila akapotezea tu,badilika aisee,wanaume hatupo hivyo.
Yaani mdada wa watu alimuonea huruma.Wakati mzuri wa kumweleza ilikuwa hiyo siku ikiwa ulishindwa haukupaswa kuyasema humu tena kwa kutaja majina yake hali ya kuwa miaka mitano imepita.
Haujuwi labda aliolewa na mume ambaye alisoma hapo chuo, vipi ikiwa alishafariki huku nyuma unaandika haya juu yake? Hasa ukiandika hapa inasaidia kitu gani ikiwa ulishindwa kumweka wazi? Kuna wakati labda tunafurahi tukutane na hali hii tupate cha kusimulia.
Wakati mwingine tujifunze kutunza siri za watu ambazo kama tungekuwa ni sisi tusingependa zifahamike kwa wengine.
Aibu kabisa. @ModeratorsModerator futa huu upuuzi
Mkuu hapa kuna faida kubwa inaweza patikana kwanza wapo ambao kupitia hili wanaweza kuwa ujasiri wa kuwaambia wapenzi ili lisitokee kama hili, pili inawezekana yuko hai na kupitia uzi huu akaona na kupata ufumbuzi, tatu wapo wadada ambao inawezekana wana hili tatizo ila hawajui lakini wanaweza kujiridhisha kama wapo sawa au laa kwa kutumia njia watakayo juwa wao. Lakini pia mkuu ni jina moja tu nimetaja na vigumu kwa yeyote kumtambua zaidi ya yeye mwenyewe.Wakati mzuri wa kumweleza ilikuwa hiyo siku ikiwa ulishindwa haukupaswa kuyasema humu tena kwa kutaja majina yake hali ya kuwa miaka mitano imepita.
Haujuwi labda aliolewa na mume ambaye alisoma hapo chuo, vipi ikiwa alishafariki huku nyuma unaandika haya juu yake? Hasa ukiandika hapa inasaidia kitu gani ikiwa ulishindwa kumweka wazi? Kuna wakati labda tunafurahi tukutane na hali hii tupate cha kusimulia.
Wakati mwingine tujifunze kutunza siri za watu ambazo kama tungekuwa ni sisi tusingependa zifahamike kwa wengine.
Huyo nae ana hilo tatizo, au huwenda ndio rukia mwenyewe anataka uzi ufutwe maana kashapata ujumbeKwanini nambie niedit kama una kasoro?
Sisi madume watupu homeYaani mdada wa watu alimuonea huruma.
Leo hii anamwanika humu, je sisi anajuwa tunavyovumilia harufu kwa ndugu zake wa kike?
Karibu hapa kwa malkia tutengeneze Pound sterling.We work from Monday to Friday and party on weekends. Mkuu wewe inaonekana una hali ngumu ya kimaisha yaaani 24/7 unataka ufanye kazi jiangalie utakufa cku si zako.
Can't be slave mkuu. Wewe endelea tu huko kudhalilika.Karibu hapa kwa malkia tutengeneze Pound sterling.
Mawazo ya kimasikini! haya endelea kudhalilisha Dada za watu hapa Jf,huenda ndio kazi uliyoichagua.Can't be slave mkuu. Wewe endelea tu huko kudhalilika.
I took your point.A gentleman doesn't kiss and tell.
kuna nuka ugoro tu uko na maviNaomba member moja aje aninuse kunako bibi kama kuna harufu ya asili au uvundo jaman duh