Popote Quinine ulipo

Facts1

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
307
28
Pole kwa kupigwa ban ingawa ban yenyewe in utata, ni wangapi wamemuita Mh. Wassira kwa jina la 'SOKWE' kwa nini wewe uwe victm peke yako, tuta-miss michango yako lakini inshallah utakuwa nasi hivi karibuni.

Post iliyompatia ban Quinine ni hii.

quote_icon.png
Originally Posted by Quinine
We are tired kuona sokwe kila siku hadi watoto wanaogopa
 
Naye huyu alikwenda mbali sana au alikua na chuki binafsi kwa Wassira! Pole sana mkulu!
 
Ujumbe aliokuwa anatoa ulikuwa sahihi ... huyu hana kazi?/ kila siku kubadili TV na kutoa mharo ule ule usiokuwa na tija kwa taifa.
Mbona hizi TV hazirushi huo "uchochezi" unaopigiwa debe kila kukicha?
 
Pole kwa kupigwa ban ingawa ban yenyewe in utata, ni wangapi wamemuita Mh. Wassira kwa jina la 'SOKWE' kwa nini wewe uwe victm peke yako, tuta-miss michango yako lakini inshallah utakuwa nasi hivi karibuni.

Post iliyompatia ban Quinine ni hii.
Yule member uliyemtolea mfano 'Birigita' naye umesababisha amepigwa ban.
 
huwezi ukamuita binaadamu mwenzio ni sokwe.. si kwa kiongozi tu... ban alijatakia akirudi atakuwaw na heshima kidogo
 
Sikuwa na lengo la kumsababishia ban ila nilikuwa naonyesha similarity ya matukio alichosema Quinine na Birigita kilikuwa kile kile hata hivyo kuna wengi tu waliosema na wanaendelea kusema hivyo.
 
huwezi ukamuita binaadamu mwenzio ni sokwe.. si kwa kiongozi tu... ban alijatakia akirudi atakuwaw na heshima kidogo

Ni kweli alichofanya Quinine si kitendo kizuri, lengo langu lilikuwa si kutetea maovu ni kuwakumbusha MODS kutenda haki na kuwa fair, vipi wale wananomwita Dr. Slaa shetani au ibilisi are they doing right thing? kwanini hawapewi ban, nafikiri umenielewa siko kwa Quinine niko kwa MODS zaidi, kwa sababu wana deal na community (people) (JF members) they should be seen doing rights and fairness to all members. MODS are human being they are not robots when they do mistake we have all the rights to correct them tukiwaacha wata assume wako right kila wakati.
 
Lakini kihistoria binadamu wote asili yetu si sokwe? Kusa lake labda ni kumfananisha or kum'identify sokwe fulan direct teh! Binadam hatutaki unyama wetu wa kiasilia!
 
Kuna watu walishawahi kuitwa nyoka wa midimu tena bungeni na juzi Kikwete amesema inabidi wajivue gamba kama nyoka ina maana nyoka ana sura nzuri kuliko sokwe najiuliza.
 
Ni kweli alichofanya Quinine si kitendo kizuri, lengo langu lilikuwa si kutetea maovu ni kuwakumbusha MODS kutenda haki na kuwa fair, vipi wale wananomwita Dr. Slaa shetani au ibilisi are they doing right thing? kwanini hawapewi ban, nafikiri umenielewa siko kwa Quinine niko kwa MODS zaidi, kwa sababu wana deal na community (people) (JF members) they should be seen doing rights and fairness to all members. MODS are human being they are not robots when they do mistake we have all the rights to correct them tukiwaacha wata assume wako right kila wakati.

wht ever ths dude deserve a ban.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom