Popote alipo anisamehe

Popote alipo anisamehe

Inaonekana yajayo yanasikitisha mkuu pole najua unashindwa hata kuandika hicho ulicho kifanya
 
Ahsante simlizi yako nzuli yaani inasisimua haswaaa
 
Alikutana na mwanamke kituo cha daladala.

Wakaanza kuishi pamoja.

Mwanamke akapata kazi akamuacha jamaa akaenda kupanga.

Jamaa akamvizia huko akamuona akimpokea mwanaume.

Roho ya ukatili ikamjaa akaondoka.
asante sana.. doh inasikitisha sana
 
Akusamehe kwakua nguvu zilikuishia hukumfanyia lolote? lara1 naomba umwelekeze jinsi ya kutunga vizuri
 
Nikajua basi utakuwa umechoma moto nyumba na kumchakaza jamaa mpya wa huyo x wako ndio ukaja kuomba msamaha hapa.....
Sasa vitu gani unaomba msamaha mwanaume wa dar wewe....

Yan wanaume wa dar kaachwa yeye bado anaomba msamaha
 
Alikutana na mwanamke kituo cha daladala.

Wakaanza kuishi pamoja.

Mwanamke akapata kazi akamuacha jamaa akaenda kupanga.

Jamaa akamvizia huko akamuona akimpokea mwanaume.

Roho ya ukatili ikamjaa akaondoka.
Uko vizuri
 
Back
Top Bottom