Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,797
- 1,976
Sir. kanali hautufai jeshini kabisa tunakuvua cheo chetu . Utashindwaje kumalizia story au mpaka sasa umeishiwa nguvu utakapo pata nguvu utaendelea eti.
Nimesha wapa mwendelezoSir. kanali hautufai jeshini kabisa tunakuvua cheo chetu . Utashindwaje kumalizia story au mpaka sasa umeishiwa nguvu utakapo pata nguvu utaendelea eti.
Daah nimecheka pekeyangu hapaINAENDELEA
basi baana ule mwezi mzima kuisha ambao nilikua mtu wa mawazo sana , pombe imekua kama Juoce kwangu , siku moja nikiwa job , akaja Mtoto wa shangazi yake na yule mke wangu, basi akashangaa kuniona nilivyokonda, akaniuliza mke wangu yupo wapi, daaahhh ilo swali liliniliza sana, nikaamua kwenda naye mahali nkaanza kumsilimulia hali yote mpaka nakua hapo.
Daaahhh Nashukuru uyu dada , alikuja kunipa kampani nisiyoitegemea, akawa anakuja home,anapika, saa ingine ananifulia, siku zikaenda , ,nakumbuka kuna siku akaja kwangu usiku, akadai kwenda kwao nimbali, yee alikua kwao ni Kibamba huko,basi ikabidi mwanamme nmpikie, akala akaoga, alichonimaliza niyeye kunifata room , nilipomuona tu mzee akasimama, kwakweli sikuwah kuinjoy mapenzi toka nizaliwe km penzi alonipa huyi dada ,nkala mzigo ,nilipiga show za kibabe ,kesho yake baada ya chai akaenda kwao ,huo ndo ukawa mwanzo wa mimi kutembea na mtoto wa shangazi yake na aliyekua mke wangu.
ITAENDELEAAAAAA
Usirudi. Kaandika Ujinga mtupuNitarudi kuisoma vizuri
Ndo kashamaliza hapo!Malizia basi
Hahaha sawa.mkuuUsirudi. Kaandika Ujinga mtupu
Inaendelea...Kilichotokea kila mtu hakuamini hata Mimi mwenyewe sikuamini ule ujasiri niliupata wapi wakati tangu utoto wangu ni mtu asiyependa kuzungumza mbele za watu wengi namna ile au kupigana. Nafkri hii ndo iliyofanya hata mke wangu kunisaliti kwa mangi mwenzake.
Nikashangaa nimeshawakaribisha ndani nikiwa serious na upole kiasi nikmwambia baba mkwe wangu wa zamani kuwa mambo haya yanazungumzika tuyamalize kifamilia. Nikiwatazama wale wengine walianza kunionea huruma kila wakitazama zile bandeji kichwani na makovu mengi yakionesha mishono niliyoshonwa na yule nesi ambaye siku ile naye alikuja nyumbani koz nilimuomba aje anifungulie bandeji pale pale nyumbani. Hivyo alivyomaliza shift yake akaja mapema zaidi ili amuwai mtoto wake kabla hajatoka nursery school asubui ile.
"Hapana haiwezekani" mama mkwe akasepa kwa nguvu huku akinyannyuka pale kitini. Mara baba mkwe akamshika mkono huku akisema" Nimechoka kulea mizigo nyumbani kwangu" hapo nikajua mambo yanaweza kuwa mazuri. Nikagundua kumbe yule shangazi na mke wangu alifiwa na mumewe kwa miaka 5 sasa na kwa jinsi alimvyompenda alikataa kuolewa kwa haraka hivyo tangu msiba umalizike alikuwa anakaa kwa kaka yake( mkwe wangu).
Mara baba mkwe akainuka akielekea ktk friji ndogo iliyokuwepo pale seblen akisema " nina kiu sana ngoja ninywe maji kwanza" Ile anafungua tuu ile friji nikamuona akitoa tabasabu kama la mke wangu alipokuwa anampokea yule jamaa getini kule kigogo. Kumbe kaona mizinga miwli ya konyagi mmoja ukiwa nusu na mwingine ungali hujaktwa utepe.
Akaichomoa kama ilivyokuwa bila kufunga friji akaiweka mezani huku kila mtu akimtazama usoni kuwa anataka kufanya nini......... akaufungua ule uliokuwa nusu akaumimina ktk glasi kuukuu iliyokuwa pale mezani huku akinitazama usoni kwa makini kisha akasema" Noone should put Konyagi in the fridge"
Itaendeleaaaaaaaa
Hahaaaaa