Asanta mkuu kwa ushauri nitaufanyia kazi, ila sina uwezo wa kupiga dari mkuu1. Ziba sehemu za wazi wanazoingilia.
2. Hakikisha ndani hakuna wadudu, maana ndo mawindo ya polo hivyo ni kivutio kwao.
3. Tafuta namna ya kuweka unga wa mdalasini pale wanapopenda kuning'inia.
4. Piga dari
Jitahidi walau mpaka hapo 3, kumbuka popo anaabeba viroboto, watakuambukiza tauni.Asanta mkuu kwa ushauri nitaufanyia kazi, ila sina uwezo wa kupiga dari mkuu