lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Kweli hili nalo ni ajabu na linapaswa kujadiliwa kabisa.Akili ninazo ni mawazo yako tu yamegota.
Fikiri kwanini Vatican ataka awe observer ndani ya BRICS?
Kwani amewahi kuwa observer kwenye umoja wa Ulaya?
Unafahamu maana ya kuwa observer?
Na kwanini iwe sasa Vatican kuomba kuwa observer imepita miaka mingapi tangu BRICS iundwe?
Ha ha haaimi kwatazamo wangu sioni Kama Brics imekuja kushindana na nchi nyingine,malengo yake nadhani ni uchumi TU.Sawa, tujipe muda. Ikishinda vizuri, ikishindwa, EU + G7 watakua wababe wa dunia(ununui wala uuzi).
SnitchHabari kutoka Vatican City papa Fransisco ameomba apewe nafasi ya kujiunga na "global South " kama mwangalizi.
Wachambuzi wa medani za kimataifa wanahofu kuwa huwenda ombi lake likagonga mwamba kutokana na kuwa ni miongoni mwa nchi zinazofungamana na wamagharibi.
View attachment 2728854
Nani?Snitch
Wasithubutu itakua ni ujasusi wa nchi za magharibi. Bila shaka vinara wa BRICS urusi na china sio naïve watakua wanaijua vizuri vatican.Habari kutoka Vatican City papa Fransisco ameomba apewe nafasi ya kujiunga na "global South " kama mwangalizi.
Wachambuzi wa medani za kimataifa wanahofu kuwa huwenda ombi lake likagonga mwamba kutokana na kuwa ni miongoni mwa nchi zinazofungamana na wamagharibi.
View attachment 2728854
BRICS wana nguvu ya kiuchumi .Wasithubutu itakua ni ujasusi wa nchi za magharibi. Bila shaka vinara wa BRICS urusi na china sio naïve watakua wanaijua vizuri vatican.
Ndani ya brics tu tayari kuna moles wa kutosha.Kwa kuwa Marekani na Uingereza hazitakubaliwa kujiunga na BRICS basi wao wameamua kuitumia Vatican.
Vatican ni watalaam kwenye tasnia ya ujasusi na watasaidia kuidhibiti BRICS na kuhakikisha wazipata taarifa zote nyeti na kisha kuzipeleka kwa wamarekani na waingereza.
Vatican wajulikana kwa huduma zake nyeti kwenye maeneo ya uchumi na siasa za Dunia hii.
Ila Russia tayari wameng'amua hilo na ni kuona kama watawakubalia Vatican au la.
C.I.A ushaongea sisi nani wa kukupinga?Ndani ya brics tu tayari kuna moles wa kutosha.
Hivi majasusi wa Vatican au G7 ni lazima mpaka wawe members ndio wadukue? Kwenye hao hao Marais wa BRICS trust me Kuna informants wa US same as G7 nako Kuna informants wa BRICS!! Espionage haihitaji membership it's too obviousKwa kuwa Marekani na Uingereza hazitakubaliwa kujiunga na BRICS basi wao wameamua kuitumia Vatican.
Vatican ni watalaam kwenye tasnia ya ujasusi na watasaidia kuidhibiti BRICS na kuhakikisha wazipata taarifa zote nyeti na kisha kuzipeleka kwa wamarekani na waingereza.
Vatican wajulikana kwa huduma zake nyeti kwenye maeneo ya uchumi na siasa za Dunia hii.
Ila Russia tayari wameng'amua hilo na ni kuona kama watawakubalia Vatican au la.
Unapokua memba unaongeza wigo wa kushawish ajendaHivi majasusi wa Vatican au G7 ni lazima mpaka wawe members ndio wadukue? Kwenye hao hao Marais wa BRICS trust me Kuna informants wa US same as G7 nako Kuna informants wa BRICS!! Espionage haihitaji membership it's too obvious
Kuna sehemu BRICS wamesema hawatawapokea Marekeni na Uingereza kwenye taratibu zao? Sehemu yoyote au jumuiya yenye zaidi ya nchi 10 tayari hakuna siri ya mambo yanayojadiliwa unless maamuzi yawe yanatolewa na nchi moja.Kwa kuwa Marekani na Uingereza hazitakubaliwa kujiunga na BRICS basi wao wameamua kuitumia Vatican.
Vatican ni watalaam kwenye tasnia ya ujasusi na watasaidia kuidhibiti BRICS na kuhakikisha wazipata taarifa zote nyeti na kisha kuzipeleka kwa wamarekani na waingereza.
Vatican wajulikana kwa huduma zake nyeti kwenye maeneo ya uchumi na siasa za Dunia hii.
Ila Russia tayari wameng'amua hilo na ni kuona kama watawakubalia Vatican au la.
Hata kwenye OIC ni mgeni mwalikwa na Jumuiya ya Kiarabu pia. Sio ajabu.Habari kutoka Vatican City papa Fransisco ameomba apewe nafasi ya kujiunga na "global South " kama mwangalizi.
Wachambuzi wa medani za kimataifa wanahofu kuwa huwenda ombi lake likagonga mwamba kutokana na kuwa ni miongoni mwa nchi zinazofungamana na wamagharibi.
View attachment 2728854
Suali lako ni muhimu sana kujibiwa.Hivi mwanachama anaweza kuwa kama observer bila kushiriki chochote ili iweje?
Akae huko huko BRICS Big No hataruhusiwa kujiunga wapeleke unafiki wao mbele huko.Hata kwenye OIC ni mgeni mwalikwa na Jumuiya ya Kiarabu pia. Sio ajabu.
Wanataka kujiunga kwajili ya umbeya tu wenzao wana malengo ya kiuchumi. Vatican hawana wanachozalisha wanakula kupitia sadaka .Hivi mwanachama anaweza kuwa kama observer bila kushiriki chochote ili iweje?
Jesuits ,CIA and MI6 on the beat , triple alliance ambayo imeexist tangia world war 2 ,Kwa kuwa Marekani na Uingereza hazitakubaliwa kujiunga na BRICS basi wao wameamua kuitumia Vatican.
Vatican ni watalaam kwenye tasnia ya ujasusi na watasaidia kuidhibiti BRICS na kuhakikisha wazipata taarifa zote nyeti na kisha kuzipeleka kwa wamarekani na waingereza.
Vatican wajulikana kwa huduma zake nyeti kwenye maeneo ya uchumi na siasa za Dunia hii.
Ila Russia tayari wameng'amua hilo na ni kuona kama watawakubalia Vatican au la.
Mwishowe utsikia papa katoa tamko kuhusu bandari ya dar es salaamSuali lako ni muhimu sana kujibiwa.
Holy shit , I never imagined this before ,Hili wazo limeniingia muda huu ndio nikaona hii ni divine revelation comes true , ufunuo wa kwenye Bible unatimia sasa , it's the new world order , dini zote zitaungana na kuwa dini moja chini ya mpinga kristo , Bible imedecalre hili .Hayo mawazo yako kwahiyo india amewakilisha dini yake na mchina kaleta ubudha ndani ya brics,mbona upo mjinga kiasi hichi.