Pope Francisco aomba kujiunga na BRICS + kama observer

Wataalam wa siasa za kimataifa hii imekaaje mji wenye mamlaka yake ya ndan unapofanya maamuz ya aina hii???
Jamaa ana special seat UN anataka ajue pia kinachoendelea brics dah roman empire inaangalia wapi pa kuingilia
 
Hivyo visifa uchwara vya ujasusi uwapelekee watu Kama fsb,svr na Iran!?..acha kukuza vitu viso maana,halafu mbona wanapenda Sana siasa hao wakatoliki!?..ni dini au corporate!?..kanisa katoliki ujerumani kuanza kufungisha ndoa za mashoga hivi karibuni,wahangaike na ustawi wa kiroho wa waamini wao!
 

Umesahau Mrusi ni nani?
 
Mimi huwa najiuliza wewe kutoka Taifa lenye watu wanaoshindia mlo mmoja unajua lakini hayo mataifa wanachama wa Bric's hawajui????
 
BRICS ingeweza kukuwa lkn tatizo kubwa ni kuwa,nchi zake hazina Siasa "IMARA".
 
Mwambieni asichanganye siasa na Dini..[emoji854][emoji854][emoji23][emoji23]
 

Nmesema na nitaendelea kusema brics+ imefeli hata kabla haijaanza.

Brics+ naita kama kikundi cha wahuni mana ukiachilia mbali malengo binafs ya kila mwanachama lengo lingine kubwa ni kukataa ushawishi wa dola katika biashara za kimataifa,kwa haraka haraka kati ya hizo nchi ni nchi gani yenye stable currency? Jibu ni hakuna.
 
BRICS ingeweza kukuwa lkn tatizo kubwa ni kuwa,nchi zake hazina Siasa "IMARA".
Dunia kwa sasa vita vinavyopiganwa ni vya kiuchumi siyo kisiasa. BRICS ni nchi zenye uchumi imara kama wataamua kushikamana hakuna namna lazima USA na wenzake waathirike.
 
Umetumia vigezo gani kusema nchi zinazounda BRICS hazina stable currency?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…