Pope Francisco aomba kujiunga na BRICS + kama observer

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,213
Reaction score
27,422
Habari kutoka Vatican City papa Fransisco ameomba apewe nafasi ya kujiunga na "global South " kama mwangalizi.

Wachambuzi wa medani za kimataifa wanahofu kuwa huwenda ombi lake likagonga mwamba kutokana na kuwa ni miongoni mwa nchi zinazofungamana na wamagharibi.

Screenshot_20230825_230505_X.jpg
 
Habari kutoka Vatican City papa Fransisco ameomba apewe nafasi ya kujiunga na "global South " kama mwangalizi .wachambuzi wa medani za kimataifa wanahofu kuwa huwenda ombi lake likagonga mwamba kutokana na kuwa ni miongoni mwa nchi zinazofungamana na wamagharibi.
View attachment 2728854
Wataalam wa siasa za kimataifa hii imekaaje mji wenye mamlaka yake ya ndan unapofanya maamuz ya aina hii???
 
Habari kutoka Vatican City papa Fransisco ameomba apewe nafasi ya kujiunga na "global South " kama mwangalizi .wachambuzi wa medani za kimataifa wanahofu kuwa huwenda ombi lake likagonga mwamba kutokana na kuwa ni miongoni mwa nchi zinazofungamana na wamagharibi.
View attachment 2728854
Wakatoliki wanachoangaliaga ni maslah tu yaani money money money
 
Kwa kuwa Marekani na Uingereza hazitakubaliwa kujiunga na BRICS basi wao wameamua kuitumia Vatican.

Vatican ni watalaam kwenye tasnia ya ujasusi na watasaidia kuidhibiti BRICS na kuhakikisha wazipata taarifa zote nyeti na kisha kuzipeleka kwa wamarekani na waingereza.

Vatican wajulikana kwa huduma zake nyeti kwenye maeneo ya uchumi na siasa za Dunia hii.

Ila Russia tayari wameng'amua hilo na ni kuona kama watawakubalia Vatican au la.
 
Wasikubali hilo ni pandikizi linawekwa ili lichunguze habar za ndan
 
Sababu ingine yaweza kuwa upande wa nchi za magharibi na Marekani zaona kwamba BRICS imewakubali Iran na Saudi Arabia ambao ni waislam basi nao kwa kuwa majority ni wakristo wameona labda Vatican akae kama "observer" ili kama kuna hitilafu basi Papa awe mpatanishi.

Yaani hiyo itakuwa tayari wameanza kuingiza UDINI kwenye hili la BRICS eti sababu tu Iran na Saudi Arabia watajiunga.
 
Kwa kuwa Marekani na Uingereza hazitakubaliwa kujiunga na BRICS basi wao wameamua kuitumia Vatican.

Vatican ni watalaam kwenye tasnia ya ujasusi na watasaidia kuidhibiti BRICS na kuhakikisha wazipata taarifa zote nyeti na kisha kuzipeleka kwa wamarekani na waingereza.

Vatican wajulikana kwa huduma zake nyeti kwenye maeneo ya uchumi na siasa za Dunia hii.

Ila Russia tayari wameng'amua hilo na ni kuona kama watawakubalia Vatican au la.
Unamanisha Vatican ni vibaraka wa nchi za magharibi?
 
Lengo kuu la brics ni kupambana na usa na washirika wake hakuna zaidi,malengo mengine ni danganya toto tu. Ukitazama wanataka waondoe matumizi ya dola kama currency ya kibiashara duniani eti kila mtu atumie currenccy yake mara watumie yuani ya china jiulize hili litawezekanaje kwa nchi zenye currency instability.

Sasa wanavyoongeza washirika ndio wana karibisha mamruki wa usa anzia na saudi arabia,kinachoenda kutokea ni mvurugano ni suala la muda tu.
 
Sasa wanavyoongeza washirika ndio wana karibisha mamruki wa usa anzia na saudi arabia,kinachoenda kutokea ni mvurugano ni suala la muda

Lengo kuu la brics ni kupambana na usa na washirika wake hakuna zaidi,malengo mengine ni danganya toto tu. Ukitazama wanataka waondoe matumizi ya dola kama currency ya kibiashara duniani eti kila mtu atumie currenccy yake mara watumie yuani ya china jiulize hili litawezekanaje kwa nchi zenye currency instability.

Sasa wanavyoongeza washirika ndio wana karibisha mamruki wa usa anzia na saudi arabia,kinachoenda kutokea ni mvurugano ni suala la muda tu.
Wakifanikiwa?
 
Mkuu wewe Unafikiri China na Urusi,,India,Iran n.k hawajui kuwa Saudia ni Mamruki wa US lakini wewe huku ndio unajua?.
 
Mkono wa usa humo brics hauwezi kosekana influence yake haiwezi shindwa ku control wanachama wa brics.

Mimi nimejenga hoja juu ya wanaodhani brics inakwepa mkono wa usa kimsingi hilo halipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom