Pope Francis shunned the papal limo

Pope Francis shunned the papal limo

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2008
Posts
2,268
Reaction score
338
VATICAN CITY — Shortly after his election on Wednesday night, Pope Francis shunned the papal limousine and rode on the last shuttle bus with other cardinals to go back to a residence inside the Vatican for a meal.

That showed his humble side, according to New York Cardinal Timothy Dolan, who gave an insider's look into the hours immediately after Jorge Bergoglio of Argentina was elected.

Dolan said most of the cardinals had taken buses back to their residence in the Vatican and had lined up to greet the new pope as he arrived for their last meal as a group.

They were expecting him to arrive in the limousine that they had seen waiting for him at the base of the Apostolic Palace.

"And as the last bus pulls up, guess who gets off? It's Pope Francis. I guess he told the driver 'That's OK, I'll just go with the boys,'" Dolan told reporters at the American seminary in Rome, the North American College.

Inside the residence, during the dinner, Dolan said the new pope showed his humorous side.

"We toasted him and when he toasted us he said: 'May God forgive you,' which brought the house down," he said.

He made them laugh again when he told the cardinals, who held seven days of pre-conclave meetings and two days in the conclave: "I am going to sleep well tonight and something tells me you are too."

The new pope told the cardinals that on Thursday he would visit Pope Emeritus Benedict at the papal summer retreat south of Rome, visit a Rome basilica and, joking again, Francis said: "I also have to stop by the residence to pick up my luggage and pay the bill."

Dolan described the emotion inside the Sistine Chapel as Bergoglio reached 77 votes, the two-thirds majority needed to elect him.

"We broke into applause but then we had to wait until the rest of the votes were counted and applauded again at the end and still again when he said he accepted the election," Dolan said.

Minutes after his election, the new pope went into the Sistine Chapel's sacristy to change into the white papal vestments.

The sacristy is known as the "room of tears," because it is there where a new pope first feels the weight of the papacy.

When he came out, a throne-like chair had been set on a platform but Francis preferred to greet the cardinals from a chair at their own level, Dolan said.

The new pope told the 114 cardinals who elected him that he had chosen the name Francis in honor of St. Francis of Assisi, who is known in Catholicism as "the little poor one" because he renounced earthly goods.

There had been some speculation that since Bergoglio is a member of the Jesuit religious order, he may have chosen the name in honor of St. Francis Xavier, one of the first Jesuits.

"He quickly clarified that," Dolan said.

Dolan said the election of Francis will be "a booster shot to the Church in the Americas, a real blessing."

"There is a sense of relief in all of us because we now have a good new shepherd," Dolan said. "He is an extraordinarily down-to-earth man... a man of confidence and poise, a beautiful sincerity and simplicity." — Reuters
 
Kwanza walivyomwona tu, umati ulitulia tuli kama vile hawakutegemea kilichotokoea!
Kwa kweli hata mimi Mkuu nilipigwa bumbuazi jinsi wananchi walivyo kaa kimya huku wamekaza macho kwenye Balcon baada ya kusikia jina la Papa mteule! Mimi na wife tukawa tunaulizana hawa jamaa hawajafurahishwa na uchaguzi huo au nini kimetokea? Je! Walitaka na awamu hii Papa atoke Ulaya? Ama kweli RC wana utaratibu usiokuwa na mfano katika kuchagua mkuu wa Kanisa. Kuna makanisa mengine huwa zinapigwa kampeni za nguvu (utafikiri kwenye siasa) mpaka unajiuliza kama kweli ni wachungaji wa kondoo wa bwana!

MUNGU AMTIE NGUVU PAPA WETU MPYA "POPE FRANCIS I"
 
Kabisa kabisa, hata mimi nilishangazwa na ile hali, na hata jina lenyewe ni kama vile halijazoeleka vile. Nilichofurahishwa ukiangalia sifa zake za maisha ya kila siku, ni mtu wa kawaida kabisa na anapenda kuwa karibu na watu, hii inaonesha ni mtu wa UPENDO kwa wote kama jinsi Mungu alivyo na UPENDO kwa wote, hayo maisha ambayo kila Mkristo anapaswa kuishi hivyo, maana dunia ya leo kitu UPENDO kadri muda unavyosogea mbele unapungua au kwisha kabisa, sasa Mungu hapa kama vile anataka kuamsha UPENDO kwa wote na hii ndo dawa ya dunia ya leo!
 
Nasahihisha tu, sio Pope Francis I, ni Pope Francis.
 
Pia inaonesha ni muumini wa lile andiko la "apendaye kujikweza atadhiriwa" Maana inasemekana hata kule kwao alikataa kuishi kwenye nyumba ya Askofu Mkuu akawa anaishi kwenye nyumba ya mapadre, kujipikia chakula chake mwenyewe, kuendesha gari mwenyewe bila kuhitaji dereva. Pia jana akakataa kupanda gari la kifahari badala yake akapanda mini-bus pamoja na makadinali wengine. Ndo maana hata jina akachagua la kumwenzi Mt. Fransisco wa Asisi

Ila kwa hii kazi aliyoipata Protocol za Kanisa lazima zitambana tu atake asitake. Tunamrudishia sifa MUNGU kwa kutuletea mchungaji mwema atakayepaendeleza mahala pa Mtume Petro (kama alivyokabidhiwa na YESU KRISTU).
 
Mkuu huyu ni Pope Francis I yaani wa kwanza kwa vile hakujawa na Pope Fransis mwingine.
Nilikuwa nafikiri hivyo mpaka niliposikia BBC leo asubuhi kwamba Vatican wame-clarify ataitwa Pope Francis na sio Pope Francis I. I guess atakapotokea Francis mwingine then hiyo I itatumika kuwatofautisha. Lakini kwa sasa ni Pope Francis.
 
Kwani mheshimiwa yeye si yupo hamble tokea uchaguzi wa 2005, it is too early to judge him.
 
Nasahihisha tu, sio Pope Francis I, ni Pope Francis.
Mkuu nafikri hujui kwa nini watu wanasema Pope Francis I? Hapajawahi kutoka Pope mwenye jina hilo kwenye historia ya kanisa. Ila kama una ushahidi tunaomba utuletee hapa. Lakini hata hivyo kama kungekuwapo mwingine mwenye jina hilo aliyepata kutokea basi huyu angeitwa Pope Francis II.

Kwa hiyo Mkuu tunakufahamisha kuwa kama atakuja kutokea Pope mwingine akachagua jina hili la Francis, basi huyo atakuwa wa II! Sasa jaribu tu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kwamba kama huyo atakayekuja mwenye jina hilo wa I atakuwa alitoka wapi? kama siyo huyu wa sasa? Kwa mfano Pope Benedict XVI amefuata mlolongo huo katika orodha ya ma-Pope waliokuwa wanatumia jina la Benedict, kwa hiyo hata ukifuatailia orodha ya ma-Pope kama yule aliyeanza kutumia jina la Benedict hakuitwa wa I lazima aliyemfuata kwa jina hilo atakuwa aliitwa Benedict II.

Natumaini somo hili litakuwa limekuingia hata kama utakuwa wewe siyo Mkatoliki. Kwa hiyo sisi tunaomwita Pope Francis I tuache tufanye hivyo na wale wanaomwita Pope Francis nao waache wafanye hivyo kulingana na uelewa wa kila mmoja, wala usitumie nguvu kutusahihisha.
 
Nilikuwa nafikiri hivyo mpaka niliposikia BBC leo asubuhi kwamba Vatican wame-clarify ataitwa Pope Francis na sio Pope Francis I. I guess atakapotokea Francis mwingine then hiyo I itatumika kuwatofautisha. Lakini kwa sasa ni Pope Francis.
Hapo uko sahihi Mkuu na tuko pamoja!!
 
Mkuu huyu ni Pope Francis I yaani wa kwanza kwa vile hakujawa na Pope Fransis mwingine.

Huyu ni pope Francis tu na atajaitwa pope Francis I pale ambapo kutajakuwa na pope Francis II. Ivyo kwa sasa ni pope Francis
 
Back
Top Bottom