Pope Francis shunned the papal limo

Pope Francis shunned the papal limo

Kaka we hukupata nafasi nini au ule moshi mweusi wa kwanza ulikuwa unakuhusu??

Hahaa nadhani moshi mweusi uliashiria huyu kutoswa! Ila huyu atakua kardinali toka kongo huyu!! Si unaona anaitwa Mopao?!!
 
Amechagua kumfuata Francis wa Assizi, yule mtu aliyeonyesha unyenyekevu wa hali juu, aliyeweza kuwatuliza mbwa mwitu wakali wakatulia wakawa marafiki, ndege wa angani wakamzingira, aliyeanzisha utawa wa Makampuchini- utawa wa ndugu wadogo (Orders of Friars Minor) na kuungwa mkono na St Clara ambaye aliyeanzisha naye utawa wa kinamama - the Poor Claires. Yule ambaye alisali usiku na mchana akiombea msamaha wenye kuleta machafuko, penye shida pawe na roho, pasipo na matumaini pawe na matumaini na penye chuki upendo, penye giza mwanga......

Mwalimu Nyerere aliipenda sana ile sala ya Mt Franzis wa Assizi na ikawa ndio kilele cha ule wimbo tuupendao SISI TUNATAKA KUWASHA MWENGE TUUWEKE KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO---kama ilivyo kwenye sala kwenye link hii
Daniel O'Donnell - Make Me A Channel Of Your Peace Lyrics

Kanisa katoliki lina kila sababu ya kufurahia uchaguzi huu- uteuzi wa liberal theologian, a down to earth patriarch of the new Christian world. Mungu amlinde! Tena Mcheshi!
 
Pia inaonesha ni muumini wa lile andiko la "apendaye kujikweza atadhiriwa" Maana inasemekana hata kule kwao alikataa kuishi kwenye nyumba ya Askofu Mkuu akawa anaishi kwenye nyumba ya mapadre, kujipikia chakula chake mwenyewe, kuendesha gari mwenyewe bila kuhitaji dereva. Pia jana akakataa kupanda gari la kifahari badala yake akapanda mini-bus pamoja na makadinali wengine. Ndo maana hata jina akachagua la kumwenzi Mt. Fransisco wa Asisi

Ila kwa hii kazi aliyoipata Protocol za Kanisa lazima zitambana tu atake asitake. Tunamrudishia sifa MUNGU kwa kutuletea mchungaji mwema atakayepaendeleza mahala pa Mtume Petro (kama alivyokabidhiwa na YESU KRISTU).

Natumai atafanya kazi vizuri sana kwenye kipindi chake cha utawala, Mungu amuongezee Busara na hekima katika kukabiliana na changamoto mbalimbali za wanadamu duniani!

Vipi nasikia ana pafu moja....mm ni wa upande mwingine kilichonifurahisha ni pale alipoomba umati umbariki na si yy awabariki.........

Na ndo inavyotakiwa hivyo, ukijiombea mwenyewe bila kuwaombea wengine ni kama UBINAFSI fulani hivi, mchungaji mwema ni yule anayehakikisha wale walio chini yake wako vizuri kiroho na kimwili, Marehemu Papa John Paul II alipata kusema, "Sijiombei mimi, nawaombea ninyi kila siku za maisha yangu!" ni maneno yake yaliyonikosha mno mno mno mpaka leo.

Kaka we hukupata nafasi nini au ule moshi mweusi wa kwanza ulikuwa unakuhusu??

Hahahaha! Hata shule ya kusalisha kanisani sijapitia ndugu yangu hahaha labda inakuhusu wewe kabisa maana kama vile ulitaka uchukue ile nafasi weye!!:smile-big:

Hahaa nadhani moshi mweusi uliashiria huyu kutoswa! Ila huyu atakua kardinali toka kongo huyu!! Si unaona anaitwa Mopao?!!

Hahahaha! Basi wewe utakuwa Kardinali wa kutokea kule Jamaica maana unavyoongea ni kama unamwaga mistari ya reggae vile hahahaha!
 
Mkuu nafikri hujui kwa nini watu wanasema Pope Francis I? Hapajawahi kutoka Pope mwenye jina hilo kwenye historia ya kanisa. Ila kama una ushahidi tunaomba utuletee hapa. Lakini hata hivyo kama kungekuwapo mwingine mwenye jina hilo aliyepata kutokea basi huyu angeitwa Pope Francis II.

Kwa hiyo Mkuu tunakufahamisha kuwa kama atakuja kutokea Pope mwingine akachagua jina hili la Francis, basi huyo atakuwa wa II! Sasa jaribu tu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kwamba kama huyo atakayekuja mwenye jina hilo wa I atakuwa alitoka wapi? kama siyo huyu wa sasa? Kwa mfano Pope Benedict XVI amefuata mlolongo huo katika orodha ya ma-Pope waliokuwa wanatumia jina la Benedict, kwa hiyo hata ukifuatailia orodha ya ma-Pope kama yule aliyeanza kutumia jina la Benedict hakuitwa wa I lazima aliyemfuata kwa jina hilo atakuwa aliitwa Benedict II.

Natumaini somo hili litakuwa limekuingia hata kama utakuwa wewe siyo Mkatoliki. Kwa hiyo sisi tunaomwita Pope Francis I tuache tufanye hivyo na wale wanaomwita Pope Francis nao waache wafanye hivyo kulingana na uelewa wa kila mmoja, wala usitumie nguvu kutusahihisha.
VATICAN CITY: "Cardinalem Bergoglio qui sibi nomen imposuit Franciscum," the Vatican's proto-deacon said as he presented the new leader of the world's 1.2 billion Catholics to the world on Wednesday -- crucially without adding the world "Primum" (the first).

The choice made by Latin America's first pope -- Jorge Mario Bergoglio --
to be known as Pope Francis, means there could be a future pope with the same name.

And only until there's a successor who calls himself Francis II, will the pope chosen in 2013 go down in history as Francis I.



 
When l saw him yesterday, l couldn't do anything than to love him. He looks so humble; we are indeed blessed!
Aaah wifi; its you i saw at the vatican! I was standing just behind you. Im just scared for him for this big cross he ought to carry.
 
Awo is right ni Pope Francis sio Pope Francis 1;

Na wala sio swala la kutumia nguvu kukusahihisha; la hasha!! it is putting issues in their proper perspective;

usahihi wa kumbukumbu ni mihimu sana hata kwa vizazi vijavyo! utakuwa unawadanganya wajukuu zako kuwambia kulikuwa na Pope Francis 1; hata kidogo; usipindishe historia kwa sababu tu hutaki kuelimishwa! ubishi !!

Kwa kumbukumbu zako hapakuwahi kuwa na Pope John Paul 1; bali Pope John Paul; aliyefuata akawa Pope John Paul 2.

Huo ni ufundishaji wa Ki Kawambwa-kawambwa, chonde sio vema!!
 
Wengi wamemkumbuka sana John Paul II!
Since tuko wadogo I only knew pope John Paul II was the one and only pope! I never thought there would be another one.. He was so humble and down to earth. I used to put much trust and faith on him kiasi kwamba ningepata chance hata ya kugusa vazi lake my whole life could change! Unfortunately i was very little when he visited Tz in 1990 sikupata chance hiyo coz ilikuwa ngumu sana kumfikia
 
What we know about Pope Francis

• He likes to travel by bus.

• He has lived for more than 50 years with one functioning lung. He had the other removed as a young man because of infection.

• He is the son of an Italian railway worker and a housewife.
• He trained as a chemist.
• He is the first non-European pope in the modern era.
• He claims that adoption by homosexuals is a form of discrimination against children but believes that condoms "can be permissible" to prevent infection.
• In 2001 he washed and kissed the feet of Aids patients in a hospice.
• He speaks fluent Italian, as well as Spanish and German.
• Until now he has been living in a small flat, eschewing a formal bishop's residence.
• He told Argentinians not to travel to Rome to celebrate if he was appointed but to give their money to the poor instead.
• He is believed to have been the runner-up in the last papal conclave in 2005.
• He has co-written a book, in Spanish, called Sobre el Cielo y la Tierra (On Heaven and Earth).
• Though conservative on church doctrine, he has criticised priests who refuse to baptise babies born to single mothers.
Kwenye hiyo red kuna mapadre wanoko sana kwenye swala hilo, i hope watabadilika sasa
 
Back
Top Bottom