Poor media visibility ya Mchakato wa kumpata mgombea Urais CHADEMA

Mleta mada sidhani kama una akili timamu kichwani au hujui kinachoendelea Tanzania. Media zinaruhusiwa kurusha mambo kama haya? huoni wana vimemo vya kutorusha juu ya upinzani hasa Chadema?

Bora CDM wamefanya hili kumteua mgombea uraisi kupitia Chadema, nyie uteuzi mlifanyia wapi?
 
Hayo mambo ya kukwapua mbona CAG huwa hayaoni anapokagua wewe una nia ovu tu sababu pesa inayokaguliwa na CAG huwezi kukwapua akikagua sinataona pesa imetoka bila sababu. Usifikirie kila mtu mjinga wa matumizi ya pesa za umma.
Pua CAG angeona makosa hayo chadema lazima angeyaanika kwa uzuri kabisa. Lakini hayo makosa haoneshi. Afu hawa vijana wa lumumba wanapayuka tu

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Una hangaika nini mkuu? Unaweza shangaa kuja kutahamaki unaebishana nae ni Cyprian Musiba( Zero brain)
 
MATAGA on fleek, Wewe lini ulisikia Mbowe amekopesha chama fedha, una umbea kama mtoto wa kike, sijui unaishije na mke, wewe m'bea , yeye m'bea.

Coverage waonyeshe :-
1. TBC?
2. CHANNEL 10?
3.CLOUDS?
4 WASAFI TV?
5. UHURU FM
6. Star Tv?
 
Ulikuwa na hoja nzuri sana, bahati mbaya umeingiza mahaba ya kijinga. Suala la media coverage kwa Chadema ni suala linalohitaji mjadala huru, na hasa kwa media specialists. Unaweza kuona hata namna ambavyo ujio wa Lisu ulivyokuwa reported.

Tulitegemea media za nje kuripoti kwa undani zaidi. Lakini pia hata kabla ya hapo tumekuwa tukiona kwa print media ni MWANANCHI peke yao wanaoripoti fairly matukio yanayogusa Chadema.

Kuweza ku conclude kama kitengo cha media cha Chadema kimefail, haiwezi kuwa kwa kutumia hicho kipande tu, ni labda kama tungeona 'media communication plan yao nzima kwa ajili ya uchaguzi
 
Usijitoe uelewa, media za Tanzania lazima zipate ruhusa toka watawala vinginevyo loss la kimtandao, angalia taarifa za habari na magazeti utaona zinatoka chanzo kimoja
 
Aisee hii imezidi ndoto za mchana.
 

Umepepeta sana so what next?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…