Poor Health services of KCMC

Poor Health services of KCMC

Kweli77

Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
38
Reaction score
14
Jamani nmesikitishwa sana na huduma mbya tena za hovyo hapa KCMC leo tunasubiria X rays kwa zaidi yà lisaa limoja .Kwakweli tena mgeni amepata ajali.KCMC hovyo hovyooooo hovyo fuatilien aliekuwa zamu x rays Leo tareh 24/11/2017 .Nyie bure kabisa

Sent from my TECNO-N9S using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usilie lie Sana hapa jf, fata utaratibu kila kitu kina taratibu zake, wapo waliokuwepo hapo tangu juz wanahitaji huduma hyo hyo anayotaka mgonjwa wako. Tunakuhakikishia huduma zetu ni bora na makini

Ukiona huridhiki tafadhali kimbia chapu hosp zingine km St Jose ama Kilimanjaro hospital,ama SIMA naimani utakutana na changamoto pia na huduma utapata kwa wakati
 
Jamani nmesikitishwa sana na huduma mbya tena za hovyo hapa KCMC leo tunasubiria X rays kwa zaidi yà lisaa limoja .Kwakweli tena mgeni amepata ajali.KCMC hovyo hovyooooo hovyo fuatilien aliekuwa zamu x rays Leo tareh 24/11/2017 .Nyie bure kabisa

Sent from my TECNO-N9S using JamiiForums mobile app

Pole sana mkuu lakini leo ni tarehe 24-11-2017 kweli? 24-10-2017 ndio sahihi
 
MKUU POLE SANA,
NADHANI KAMA HIYO X-RAY SIO DIGITAL THEN USIWALAUMU MAANA INA BID PICHA ZIPELEKWE KWENYE DARK ROOM ILIZIWE PROCESSED LAKINI KAMA NI DIGITAL MARANYINGI INAKUWA HAPO KWA HAPO
 
Wewe ni mtanzania kweli?
Yaani umechelewa kupigwa picha ya X-ray kwa lisaa limoja tu halafu unakuja kulalamika hapa JF!?
Uko seriously kweli au unatania?
Hospitali zipo nyingi sana, ungesepa zako na kumpeleka mahali pengine akatibiwe, halafu ungeleta mrejesho wa utofauti wa huduma hapa JF.

Kuna mambo ya Foleni za wagonjwa, uchache wa watumishi, mida ya kuchelewa kama jioni nk. ambapo huduma kwenye taasisi nyingi za umma hudorora sana. Kwa Tanzania ni jambo la kawaida mno.

Ni hospitali gani hapa Tanzania yenye kutoa huduma kwa jamii kubwa inayoweza kukupa huduma hiyo kwa haraka zaidi ya huo muda?
 
Unajua kcmc inahudumia wagonjwa wangapi kwa siku!?

Je unahisi ni wewe peke yako ulikuwa unapiga X ray tu hakuna wagonjwa wengine!?
Pu
Mba
Vu.
 
Kwahio unataka mtu afukuzwe kazi? Hapo ni picha tu. Hata matibabu bado? Angefariki je si ungejaza threads za JF.
 
Hahahahahaaaa!!watanzania bana!!hapo kilichokuudhi ni ni Sasa!!only one hour unasema umexheleweshwa ?duhh
 
Jamani nmesikitishwa sana na huduma mbya tena za hovyo hapa KCMC leo tunasubiria X rays kwa zaidi yà lisaa limoja .Kwakweli tena mgeni amepata ajali.KCMC hovyo hovyooooo hovyo fuatilien aliekuwa zamu x rays Leo tareh 24/11/2017 .Nyie bure kabisa

Sent from my TECNO-N9S using JamiiForums mobile app
Yaani Leo tu ndio mapovu yote hayo? Kuna sanduku LA maoni..Ulikumbuka kuweka maoni yako?
 
Back
Top Bottom