Poor English denies many jobs, promotion - director

Mkuu Mundu I think you have overreacted and you let pride take over. Let me show you want I'm talking about.

Schools should refrain from preparing their potential graduands to just be in good command of English (as the so called Director is trying to maliciously convince us). This alone will (if you are luck) just put you there, but it will not make you sustain the challenges of a senior position. A senior position requires three important things: A person who thinks, feels and acts accordingly.

No where is it said that English alone will ensure that a person will sustain the duties of a senior position. They just said it'a a factor and a big factor for that matter especially in this world we live in now. Denying the fact won't help us be competitive. Even government officials need a good grasp of English because they have to represent us internationally and also speak on our behalf when we have foreign delegations to our country.
 
Hii nakubaliana nayo - hata mkuu wetu (JK) juzi pale kwenye kikao cha uchumi jiji la mlimani, kuna wakati nilitamani aache hicho kiinglishi na azungumze kiswahili. Najua angekwenda kiswahili angeweza -ku-reason vizuri. Maana nahisi alishindwa kujieleza baadhi ya mambo kwa kuwa English was mandatory
 
Read the article critically, then you'll understand the smartness of the one who uttered that statement. She is mistakenly equate english with professionalism. That is very sad for the Director to fail to put a demarcation between lingua and professional. Now look at her statement then you'll understand what I explained above. ''Elaborating she said that the education given was not meant to prepare people to speak perfect English, but to pass exams''. So for her, the aim of education of any territory is to prepare students to speak a good lingua and not to be good professionals. I think if she is smart, she could challenge something which is tangible and sensible such as ''the education given was not meant to prepare people to be professionals, but to pass exams'' (which is not the case in tz ).
Pliz kiranga dont take vague assertion which has no empirical evidence. Watakucheka watu.

Thanks
Eliakeem.
She may have made the wrong assertion but what she is saying is quite true. Go to any university in Tanzania and test the level of English language command. It is pathetic. Lecturers resort to delivering lectures in Kiswahili or a mixture of Kiswahili and English. But theoretically English is the language of higher education learning. What a contradiction? Either we accept the reality in the job marketplace and learn proper English or face the consequence of not knowing the language. What is the use of having knowledge if you cannot transfer that knowledge or use it to express ideas to others - in this case employers?
 
The so called See Vee Director has a valid point. If you can't beat them, join them. Simple, just learn English and all will be well with you career wise that is.
 
Halafu oooh, Kiingereza si muhimu, lugha ya mkoloni, elimu ya juu tuweke Kiswahili, kujua Kiingereza si kujua kazi etc.

Hayo yote ni kweli! Mimi ni mmoja wa wtu wasiohusudisha sana hiyo lugha. Tunayo ya wetu, kwa nini tusiitumie kwa majivuno. Tatizo letu nin? Kama wengine wanatumia lugha zao asili kwa nini tusitumie ya kwetu bana. Haingii akilini kabisa.

No wonder tukija na Kiingereza chetu cha kujifunzia ukubwani hapa watu wanaona tuna floss Kumbe ni cha kawaida ila kwa sababu kwetu Kiswahili kina nguvu sana, hata mtu ukiongea/ kuandika Kiingereza chenye msamiati standard unaonekana una pull some deliberate "spookyness action at a distance" Einstenian stunts.

Nikisema "I am not spoeaking too fast, most of us are listening too slow" kuna watu wanabisha.

Wanaoona una "floss" wako sahihi kabisa. Mara nyingi, hasa sisi Waafrika, tunapenda kujionesha kuwa tunaijua vizuri lugha hiyo na watu wengi huihusisha na kuelimika na wakati mwingine huihusisha na akili ya mtu (ingawa kimakosa).
 
You cannot be a proper world class professional if you cannot communicate well. If the nature of these companies is international as it is increasingly becoming the case, you cannot communicate well if your English is poor.

Last I checked, Toyota's CEO or chairman testified before the US Congress (one of the committees in the House) in Japanese. Later on that night he went onto Larry King and did the interview in his native Japanese. And Toyota is a global company.....
 
Hayo yote ni kweli! Mimi ni mmoja wa wtu wasiohusudisha sana hiyo lugha. Tunayo ya wetu, kwa nini tusiitumie kwa majivuno. Tatizo letu nin? Kama wengine wanatumia lugha zao asili kwa nini tusitumie ya kwetu bana. Haingii akilini kabisa.

Wanaoona una "floss" wako sahihi kabisa. Mara nyingi, hasa sisi Waafrika, tunapenda kujionesha kuwa tunaijua vizuri lugha hiyo na watu wengi huihusisha na kuelimika na wakati mwingine huihusisha na akili ya mtu (ingawa kimakosa).

Kwa hiyo wrong thought, based on wrong assumption ni quite OK kwako wewe siyo?
 
We want Swahili to be the language used in higher education citing examples like Asian countries such as Japan, China and North Korea. What we don't understand is that these countries have big enough local companies to employ their people.

Why can't we create our own companies to employ our own people? That would impress me much more than mastering some foreign colonial master language.....
 
Last I checked, Toyota's CEO or chairman testified before the US Congress (one of the committees in the House) in Japanese. Later on that night he went onto Larry King and did the interview in his native Japanese. And Toyota is a global company.....

Kwanza huwezi kulinganisha Japan na Tanzania.

Pili, last time I checked US Congress haiongei Kijapani, anytime you need an interpreter that is one more communication barrier, information theory inasema quality ya information ina deteriorate proportionaly na steps information hii inazopitia.

Ushasikia mtu ame translate "Johannesburg" into "Mfujo wa Yohana" ?

Now if you are a Toyata CEO, you can get away with it, heck Castro anaongea Kihispania kwenye interviews zake zote za kimataifa, ingawa anajua kiingereza vizuri.Lakini huyu ana nyodo, hahitaji misaada wala investments za watu.

Beggars cannot be choosers, we have to get with the flow until we can dictate terms.Trying to dictate terms before we acquire the economic capacity is suicide.
 
What is the wrong thought that is based on a wrong assumption?

The wrong thought is that English demonstrate intellectual prowess, the wrong assumption is that I am flossing.

Elewa kwamba umuhimu wa Kiingereza hautokani na habari kwamba kujua Kiingereza kunaonyesha kuwa na akili, umuhimu wa Kiingereza unakuja pale Kiingereza kinapokuwezesha kuongea/ wasiliana na watu wengi zaidi wa kutoka sehemu mbali mbali za dunia. Ndiyo maana nikatilia mkazo sana the global nature of business nowadays and why English is so important.Itafika wakati wakulima wa Tanzania ili kuuza bidhaa kwa wafanyabiashara wa Nigeria itabidi watumie Kiingereza.

Wewe umekazania an unreal cocoon ya "kwa nini tusiwe na viwanda vyetu kwa ajili ya watu wetu na kutumia lugha yetu" walishindwa kina Mlcolm na Nation of Islam hapa US, tutaweza huko bongo ambapo hata pini na pipi tuna import?

Get real son.
 
Kwanza huwezi kulinganisha Japan na Tanzania.

Silinganishi kila kitu. Hapa tunazungumzia lugha.

Pili, last time I checked US Congress haiongei Kijapani, anytime you need an interpreter that is one more communication barrier, information theory inasema quality ya information ina deteriorate proportionaly na steps information hii inazopitia.

Na Bwana Toyoda hakutoa ushuhuda kwa lugha ya Kiingereza......alinivutia (impress).

Ushasikia mtu ame translate "Johannesburg" into "Mfujo wa Yohana" ?

Mara nyingi majina ya sehemu huwa hayatafsiriwi

Now if you are a Toyata CEO, you can get away with it, heck Castro anaongea Kihispania kwenye interviews zake zote za kimataifa, ingawa anajua kiingereza vizuri.Lakini huyu ana nyodo, hahitaji misaada wala investments za watu.

Huyu kwangu ni shujaa.Sijui kwa nini na sisi tusiwe kama yeye? Mwenyewe si unaona Wamarekani wanavyojifunza Kihispaniola? Kuna kina amigo hapa hawaongei Kiingereza wala nini licha ya kuwepo hapa kwa muda mrefu mpaka wazungu wenyewe wanalazimika kujifunza lugha yao.

Beggars cannot be choosers, we have to get with the flow until we can dictate terms.Trying to dictate terms before we acquire the economic capacity is suicide.

But we can be stubborn (maskini jeuri) and proud of the little that we have i.e. rich cultural heritage
 
Silinganishi kila kitu. Hapa tunazungumzia lugha.

Na Bwana Toyoda hakutoa ushuhuda kwa lugha ya Kiingereza......alinivutia (impress).

Mara nyingi majina ya sehemu huwa hayatafsiriwi

Huyu kwangu ni shujaa.Sijui kwa nini na sisi tusiwe kama yeye? Mwenyewe si unaona Wamarekani wanavyojifunza Kihispaniola? Kuna kina amigo hapa hawaongei Kiingereza wala nini licha ya kuwepo hapa kwa muda mrefu mpaka wazungu wenyewe wanalazimika kujifunza lugha yao.

But we can be stubborn (maskini jeuri) and proud of the little that we have i.e. rich cultural heritage

Nguvu ya uchumi inaweza ku dictate guts na practicality za kuongea Kiingereza au lugha yako, sasa ukisema una compare lugha tu unakosea.

Muomba msaada inaweza akashurutika kujua lugha ya mtoa msaada, lakini kama mtu huombi msaada na una uchumi mzuri unaweza kuafford kuongea lugha yako.

Tusitake kuiga tembo kunya, tutapasuka msamba.
 
The wrong thought is that English demonstrate intellectual prowess,

Got you!

the wrong assumption is that I am flossing.
That's debatable and subjective......

Elewa kwamba umuhimu wa Kiingereza hautokani na habari kwamba kujua Kiingereza kunaonyesha kuwa na akili,
Hilo nalijua fika kabisa. Kila siku nadili na Wamarekani bana na hawaongei lugha zaidi ya Kiingereza. A person's intellect is not quantified by his/ her proficiency in the English language.

umuhimu wa Kiingereza unakuja pale Kiingereza kinapokuwezesha kuongea/ wasiliana na watu wengi zaidi wa kutoka sehemu mbali mbali za dunia. Ndiyo maana nikatilia mkazo sana the global nature of business nowadays and why English is so important.Itafika wakati wakulima wa Tanzania ili kuuza bidhaa kwa wafanyabiashara wa Nigeria itabidi watumie Kiingereza.
Kama familia ya Toyoda imeweza kuuza magari yake ulimwengu mzima bila kujua Kiingereza sidhani kama wakulima wa Tanzania watashindwa kuuza mazao yao huko Nigeria kama yana ubora wa hali ya juu.

Wewe umekazania an unreal cocoon ya "kwa nini tusiwe na viwanda vyetu kwa ajili ya watu wetu na kutumia lugha yetu" walishindwa kina Mlcolm na Nation of Islam hapa US, tutaweza huko bongo ambapo hata pini na pipi tuna import?

Get real son.
This is laughable! How is it unreal when others have made it a reality? Na hiyo ya kusema eti walishindwa akina Malcolm X na NOI..sis tutaweza.....that's defeatism. Come on son....
 
Got you!

That's debatable and subjective......

Hilo nalijua fika kabisa. Kila siku nadili na Wamarekani bana na hawaongei lugha zaidi ya Kiingereza. A person's intellect is not quantified by his/ her proficiency in the English language.

Kama familia ya Toyoda imeweza kuuza magari yake ulimwengu mzima bila kujua Kiingereza sidhani kama wakulima wa Tanzania watashindwa kuuza mazao yao huko Nigeria kama yana ubora wa hali ya juu.

This is laughable! How is it unreal when others have made it a reality? Na hiyo ya kusema eti walishindwa akina Malcolm X na NOI..sis tutaweza.....that's defeatism. Come on son....

Wewe unataka kujicompare na Japan? Culture yao, ethos zao, sense of economy, population etc ni tofauti.

There is the abstract and the real.Kama unataka kuongea in abstract terms, then tunaweza kuifanya Tanzania ikawa modern day Rome na dunia nzima ijifunze Kiswahili.

Lakini have some humility son, is that practicable.Have some realistic goals.Hata kama unataka world domination, kwanza unajifunza lugha za watu unaotaka kuwa conquer, then ukishawa conquer unawalazimisha kuongea lugha yako.

Ndivyo walivyofanya kina Livingstone na kina Stanley.Kujifunza lugha za watu ni muhimu hata kama in the long term unataka dunia nzima iongee lugha yako.
 
Back
Top Bottom