Poor customer care

Poor customer care

awadhizo

New Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Yaaan hizi kampuni za huduma za simu,cjui znazingatia sana kwenye promosheni,na offa zao za ajabu,hadi wanasahau kuhudumia m2,unakuta m2 anapiga simu mpaka ahudumiwe ni nusu saa,isitoshee tatizo lako halitatuliwi.hii tabia iko sana Airtel.inanikera sanaaa...
 
peleka jukwaa la malalamiko, hapa si mahala pake
 
Back
Top Bottom