Pongezi za wanaJamiiForums kwa Rais Magufuli kwa kupambana na wahujumu wa madini yetu

563e1c3f17948dd68e520dae9b7545ec.jpg
 
Mods fanyeni kazi MTU hawezi kuanzisha thread na kusema anawakilisha wanajamii was JF bila hata kuulizia kwanza.
 
kungekuwa na uwezekana wa kutoa like 2 au tatu zaidi ningeamisha Like zote za kwenye ule uzi wa kupeana Likes nikupe.big up kwa maono mazuri kweli mtu mwenye nia ya kitu anaonekana kimatendo kama Magufuli angekuwa na nia,uchungu na uzalendo anaojifanya kuwa anao haya uliyayasema yasingekuwepo,ndio maana tunasema Rais aliyetokana na Mfumo wa CCM ni vigumu sana kwenda tofauti na mfumo ulio muweka madarakani.
Hizi movie za ktoto za ccm tumezizoea sn ila mabashite hawashitukagi.................
Kuna watu hawawezi tena kuimba waacha waisome namba eeee.....Mfano Nape na Kinana. UZURI WAKE NAMBA TUNASOMA WOTE KILA MMONA KWA WKT NA NAMNA YAKE
 
Back
Top Bottom