Pongezi WanaMtwara! Pongezi Serikali ya CCM!

kama wamekubaliana gesi haitoki mtwara hapo sawa ila vinginevyo ni upuuzi mtupu..
Ukitembea uchi barabarani huku umevaa chupi kichwani watu wakakucheka .kukuzomea na kukurushia mawe. Ghafla ukarudi nyumbani ukavaa nguo na kurudi barabarani je unastahili kuomba kupongezwa na waliokucheka? Ccm shame on yuo and you will be responsible.for the killing of mtwara immocent people
 
But there's a blood there,open Ur macho bana.Kwa nn kusubiri dam???
 
ccm inabidi ifutwe kwa sababu inaendeshwa kinyume na katiba yake haina kamati kuu kwa zaidi ya miezi 3,hivyo inakosa sifa kuwa chama cha siasa bali ni genge la wahuni,wezi wa mali za taifa na kundi kuuwa wanachi wasio na hatia kwenye mikutano ya vyama pinzani futa wahuni hawa magamba ya kobe.:violin:
 

hakuna kitu kama hicho,pinda ni kama amekuja kuchochea kuni mbichi tuh jikoni,,
hali imezid kuwa mbaya zaid,,

na kwa hakika mmezid kujitia kwenye hasara zaid
kama una bisha subiri uone uhalisia ulivyo..
 
mkuuthe big show
hebu njoo utueleze kama huyu mleta hoja anasema ukweli. Ni kweli mmeyamaliza na magamba?

yeyote yule aliye mtwara kwa sasa anautambua uhalisia ulivyo,,

ccm wenyewe wanajua hali ilivyo,alichokifanya pinda ni kuufunika moshi huku moto ukiendelea kufuka,,
ameulizwa huku bomba linajengwa ama halijengwi??kaishia kujiuma uma,atasema nini sasa?unadhan anaweza kwenda kinyume na boss wake??
Sasa kaanza kuweweseka na anashauri tume ya bunge isiundwe kwa nini??
Acha hiyo tume ije mjionee uozo wa wazi wazi na ulimbuken wa pinda,,
huku ngoma bado mbichi,subirin hivi punde mtajionea na kuskia wenywe.
 
hakuna kitu kama hicho,pinda ni kama amekuja kuchochea kuni mbichi tuh jikoni,,
hali imezid kuwa mbaya zaid,,

na kwa hakika mmezid kujitia kwenye hasara zaid
kama una bisha subiri uone uhalisia ulivyo..

kwa maneno mengine mkuu unamahanisha kuwa pinda kafunika moto kwa majani makavu ili usionekane au kaficha sigara mfukoni?
 
kifupi ccm imebakwa mtwara.,imelazimishwa kutenda kinyume na sera yake...R.I.P. ccm.!
 
naona kichwa ulipewa kufigia nywele yaani hata haufikirii hata kidogo wala kukumbuka wananchi wenzetu waliopoteza maisha yao juu ya hili suala la gesi! pole sana
 

Umeongea ukweli mtupu lakini umenichefua na hilo neno kwenye RED.

Hata mimi sikupenda siasa kuingizwa kwenye mambo yenye maslahi ya kitaifa lkn hiyo haikumaanisha naiunga mkono CCM. Kwangu mimi CCM ni janga na ulimwengu unapaswa kufahamu hivyo, lkn linapokuja suala la maendeleo ya nchi nitaunga mkono.

Naomba nikusahihishe kuwa, Wanamtwara waliongea na Pinda & Co kama viongozi kutoka serikalini na sio viongozi wa CCM. Kile hakikuwa kikao cha chama chenu 'kinukafu' chenye kutia kichefuchefu kwa rushwa na ubadhirifu.

Uzalendo kwanza!
 
hakuna kitu kama hicho,pinda ni kama amekuja kuchochea kuni mbichi tuh jikoni,,
hali imezid kuwa mbaya zaid,,

na kwa hakika mmezid kujitia kwenye hasara zaid
kama una bisha subiri uone uhalisia ulivyo..

Kama dunia hii ingeongozwa kwa mawazo yako, hakika hakuna jiwe lingekaa juu ya lingine. Ungejenga hapa leo, kesho ukabomoa kwa kutojua unataka nini
 

Mtoto kadanganywa na pipi aache kulia.
 


huelewi na hutoweza kuelewa,waliongea na pinda hata chembe ya wana kusini hawawez fika,ni baadhi ya wawakilishi waliokwenda kusikiliza hoja na kutoa hoja zao on behalf of kusini kisha walete mrejesho kwa wananchi,pinda asiongopee umma,kuna mkutano gani alioufanya wa hadhara na wana kusini zaid ya kuongea na hao wawakilishi na kusikiliza hoja zao?
Tunashangaa badala ya kutolea clarifications yeye anakuja kutangaza mgogoro umeisha eti kisa kaongea na hao wawakilishi huku akijizuka kwa utulivu ambao wana nchi wameuonesha kwa kipindi hiki,hiyo haitasaidia hata kidogo,,
pinda amekuja huku kushikilia msimamo wa boss wake jk,nikuulze ww kama kweli unafuatilia,unajua majibu ya pinda katika haya yaliyozungumzwa huku anayoyatoa kwenye vyombo vya habari??
Kama hujui kitu ni bora tu uka kaa zako kimya.
 
uchaguzi umefanyika lini???hayo makubaliano mmeshatekeleza???unajua kama pinda ni bingwa kwa kuhairisha migogoro??kama unafikiri ccm iko salama kusini subiri kishindo kikubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…