Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana Mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka CCM ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la Mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika CCM bado ni changuo la mikoa ya Kusini.
Twashukuru hatimaye wana Mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya Mtwara na Lindi.
kinyesi.Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana Mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka CCM ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la Mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika CCM bado ni changuo la mikoa ya Kusini.
Twashukuru hatimaye wana Mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya Mtwara na Lindi.
kama wamekubaliana gesi haitoki mtwara hapo sawa ila vinginevyo ni upuuzi mtupu..Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana Mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka CCM ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la Mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika CCM bado ni changuo la mikoa ya Kusini.
Twashukuru hatimaye wana Mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya Mtwara na Lindi.
Kwa taarifa yako moto ndio kwanza unaongezewa kuni na petrol. alicho fanya PINDA ni ujanja wa kisiasa. watu wa Mtwara hawajaridhika hata kidogo kwani amehitimisha safari yake kwa kuongea na wananchi.Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana Mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka CCM ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la Mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika CCM bado ni changuo la mikoa ya Kusini.
Twashukuru hatimaye wana Mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya Mtwara na Lindi.
Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana Mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka CCM ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la Mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika CCM bado ni changuo la mikoa ya Kusini.
Twashukuru hatimaye wana Mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya Mtwara na Lindi.
Baada ya kuua, kuchoma boma na mali za makada wenu ndo mnatambua kuwa Mtwara kuna watu wanaopaswa kusikilizwa! Wapinzani na wanamtwara ndio wameshinda maana Pinda kasema yaliyokuwa yakihubiriwa na wapinzani. KWELI HAKI HAIOMBWI BALI INADAIWA (Lema) Kwa hiyo bomba ndio basi?