Pongezi: UVCCM Moshi Mjini mmeonyesha njia!

Pongezi: UVCCM Moshi Mjini mmeonyesha njia!

hiyo miradi isije kuwa ni ile ya kubeba mabegi sanjari na biashara ya sembe uvccm?????
 
Kama wamejitambua ni jambo jema nikawaida ya vijana kuwatumikia wanachi.
 
kumbe ndio maana maendeleo hakuna miaka 50 unakuja na hoja ya hivi wakati mali zote waliojenga watz mmewazulumu.....pale moshi kuna ukumbi wa umoja wa vijana tangu mie mdogo ulikuwa unakodishwa kwa sherehe nk lakini pesa yake nani anachukuwa.

Mkuu kuna zaidi ya ukumbi!!

Kuna mpaka maduka/vibanda vya kukodisha.
 
hiyo miradi isije kuwa ni ile ya kubeba mabegi sanjari na biashara ya sembe uvccm?????

CCM pamoja na jumuiya zake,
Inapinga vikali biashara hiyo mkuu.

Hivi karibuni Rais pia alitoa tamko kali juu
ya vijana kujihusisha na biashara hiyo.

Hata mimi nakushauri kaka usifanye hiyo
biashara. Tutakukosa muda si mrefu.
 
wana JF,
Hoja hapa ni mafanikio waliyonayo vijana wa
UVCCM Moshi Mjini. Ni vyema tusiingize hoja tofauti.

Binafsi nimewasifu na nimependa mipango walio nayo
kwa vijana wenzao.

Hakika mnastaili pongezi.
 
Ccm nakupenda nitakulinda dhidi ya wafedhuri chadema,cuf,nccr,nk Mungu ibaliki Tz ibariki ccm
 
Ngoja nilifanyie kazi,mi pia nakula mtwara nalala dar salama! haahaah ndo tz yetu hii.
 
wana JF,
Hoja hapa ni mafanikio waliyonayo vijana wa
UVCCM Moshi Mjini. Ni vyema tusiingize hoja tofauti.

Binafsi nimewasifu na nimependa mipango walio nayo
kwa vijana wenzao.

Hakika mnastaili pongezi.

wewe ni mmoja wa uvccm hapo moshi sasa umeamua kujiweke habari ushuzi hapa ili kuwahadaa uvccm taifa wakuone umefanya la maana kumbe hamna kitu.

kama wewe ni mwananume with two balls hebu aininisha miradi, mipango, mikakati, mtaji ,faida, idadi ya walionufaika na mazli iliyozalishwa na kuratibiwa na uvccm moshi na kukomboa vijana kama unavyodai.
 
JF,
Binafsi nimefurahishwa sana na utendaji kazi wa vijana wa ccm mjini Moshi.

Namna bora ya kujenga chama ni kwa kuanzia kwenye mashina/matawi nyie hilo mmefanikiwa. Sasa hivi kule SOWETO, MAJENGO, PASUA na sehemu nyingine vijana wana miradi. Hii ndio njia sahihi kujenga umoja.

Jambo sasa ni kujenga mshikamano huo, kwa ajili ya kazi kubwa iliyo mbele yenu ya 2014/2015 kurudisha Jimbo Nyumbani kwao.

Wiki ijayo tutakuwa Maswa kuangalia maendeleo mbali mbali, nawakaribisha sana.

NKUU SINDE, nduguyenu.

Jimbo la Moshi mjini linarudi vp nyumbani kwao! Una maanisha lirudi CCM///!

Unajidanya, Moshi Mjini toka siasa za vyama vingi zimeingia nchini jimbo hilo halijawahi kuwa chini ya CCM!
1995 Jimbo lilikuwa chini Mtui wa NCCR-Mageuzi, Baada ya hapo ni CDM na Ndesamburo mpaka leo, vp jimbo lirudi nyumbani?

Badilisha kauli kijana!
 
Ccm nakupenda nitakulinda dhidi ya wafedhuri chadema,cuf,nccr,nk Mungu ibaliki Tz ibariki ccm

ID mbili mbili za kujitekenya na kucheka mwenyewe.
Unapata faida gani kuswitch IDs kila mara tena kwenye mada moja uliyoanzisha mwenyewe??
 
Wengi wao wako kwenye vikundi vidogo vidogo!!
Na wanabiashara pamoja na miradi ya Vibanda.

Wako busy kuhangaika, na sio kupoteza muda kijiweni.

JF,
Binafsi nimefurahishwa sana na utendaji kazi wa vijana wa ccm mjini Moshi.

Namna bora ya kujenga chama ni kwa kuanzia kwenye mashina/matawi nyie hilo mmefanikiwa. Sasa hivi kule SOWETO, MAJENGO, PASUA na sehemu nyingine vijana wana miradi. Hii ndio njia sahihi kujenga umoja.

Jambo sasa ni kujenga mshikamano huo, kwa ajili ya kazi kubwa iliyo mbele yenu ya 2014/2015 kurudisha Jimbo Nyumbani kwao.

Wiki ijayo tutakuwa Maswa kuangalia maendeleo mbali mbali, nawakaribisha sana.

NKUU SINDE, nduguyenu.

Ndg yangu mpalestina nashukuru kwa taarifa hii ilojaa masikitiko.Hao Uvccm ni chama kipya au kile cha ukoo wa panya?Kama ndivyo iweje hayo maendeleo unayotudanganya hawakuyapata karibu nusu karne ya uhai wa chama iwe leo!Nisiloelewa pia kwanini kata walizojitutumua ni izo 3 tu na siyo nchi nzima au moshi yote au huko ukoo wa panya haupo.Angalia isijekuwa yaleyale kumbe mzee ndesapesa anawateka bila kujua mkadhani wapo ktk kundi lenu la mapunguani ilhali wameshaelimika na kukombolewa kifikira.Pole sana kwa Msiba wa lichama lenu ulotolea leo pale mahakamani Arusha.Ila taratibu tuu utaelewa kwani unahitaji ukombozi wa fikra kama siyo unafanya makusudi!

Back
Top Bottom