Moshi ipi hiyo Mshami wewe??? Unaijua Moshi au unaisikia ukiwa huko Lumumba???
Ngoja nilifanyie kazi,mi pia nakula mtwara nalala dar salama! haahaah ndo tz yetu hii.
wewe ni mmoja wa uvccm hapo moshi sasa umeamua kujiweke habari ushuzi hapa ili kuwahadaa uvccm taifa wakuone umefanya la maana kumbe hamna kitu.
kama wewe ni mwananume with two balls hebu aininisha miradi, mipango, mikakati, mtaji ,faida, idadi ya walionufaika na mazli iliyozalishwa na kuratibiwa na uvccm moshi na kukomboa vijana kama unavyodai.
JF,
Binafsi nimefurahishwa sana na utendaji kazi wa vijana wa ccm mjini Moshi.
Namna bora ya kujenga chama ni kwa kuanzia kwenye mashina/matawi nyie hilo mmefanikiwa. Sasa hivi kule SOWETO, MAJENGO, PASUA na sehemu nyingine vijana wana miradi. Hii ndio njia sahihi kujenga umoja.
Jambo sasa ni kujenga mshikamano huo, kwa ajili ya kazi kubwa iliyo mbele yenu ya 2014/2015 kurudisha Jimbo Nyumbani kwao.
Wiki ijayo tutakuwa Maswa kuangalia maendeleo mbali mbali, nawakaribisha sana.
NKUU SINDE, nduguyenu.
ID mbili mbili za kujitekenya na kucheka mwenyewe.
Unapata faida gani kuswitch IDs kila mara tena kwenye mada moja uliyoanzisha mwenyewe??
NAPE,BULEMBO walisema ccm haipo moshi na sii ya wachaga
Ndg yangu mpalestina nashukuru kwa taarifa hii ilojaa masikitiko.Hao Uvccm ni chama kipya au kile cha ukoo wa panya?Kama ndivyo iweje hayo maendeleo unayotudanganya hawakuyapata karibu nusu karne ya uhai wa chama iwe leo!Nisiloelewa pia kwanini kata walizojitutumua ni izo 3 tu na siyo nchi nzima au moshi yote au huko ukoo wa panya haupo.Angalia isijekuwa yaleyale kumbe mzee ndesapesa anawateka bila kujua mkadhani wapo ktk kundi lenu la mapunguani ilhali wameshaelimika na kukombolewa kifikira.Pole sana kwa Msiba wa lichama lenu ulotolea leo pale mahakamani Arusha.Ila taratibu tuu utaelewa kwani unahitaji ukombozi wa fikra kama siyo unafanya makusudi!
Mkuu mirungi ni madawa pia yaliyokatazwa.
Kuwa makini kabla ya kuandika.
Wengi wao wako kwenye vikundi vidogo vidogo!!
Na wanabiashara pamoja na miradi ya Vibanda.
Wako busy kuhangaika, na sio kupoteza muda kijiweni.
Ndg yangu Nkuu ni wapi nimebisha?mimi ya Bavicha siyajui kwani siruhusiwi kushiriki siasa.ishu hapi ni kwamba uvsisiemu wapo miaka nrnda rudi leo ndo wamekumbuka shuka ilhali kumekucha?Mount Kibo,
Si kila jambo ni la kubisha. Naomba uniambie ilipo ofisi ya BAVICHA wilaya ya Moshi mjini..