NKUU SINDE KWETU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 830
- 91
JF,
Binafsi nimefurahishwa sana na utendaji kazi wa vijana wa ccm mjini Moshi.
Namna bora ya kujenga chama ni kwa kuanzia kwenye mashina/matawi nyie hilo mmefanikiwa. Sasa hivi kule SOWETO, MAJENGO, PASUA na sehemu nyingine vijana wana miradi. Hii ndio njia sahihi kujenga umoja.
Jambo sasa ni kujenga mshikamano huo, kwa ajili ya kazi kubwa iliyo mbele yenu ya 2014/2015 kurudisha Jimbo Nyumbani kwao.
Wiki ijayo tutakuwa Maswa kuangalia maendeleo mbali mbali, nawakaribisha sana.
NKUU SINDE, nduguyenu.