Pongezi: Maji yanayotoka kwenye kiwanda cha Jambo - Shinyanga

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,519
Nitoe pongezi zangu za dhati kwa mmiliki wa Kiwanda cha Jambo Ndugu Salum kwa ubora wa hali wa juu wa Maji yanayotoka Kiwandani kwake.

Maji haya ni masafi na yana ladha tamu sana. Hata kifungashio kinavutia sana. Kwa sasa maji haya natumaini huwezi kulinganisha na maji yanayotoka kwenye viwanda vingine katika nchi hii.

Hongera sana Kiwanda cha Jambo.
 
hilo ni tangazo la biashara vp umelilipia kabisa au

TE="Koryo2, post: 19567802, member: 401150"]Nitoe pongezi zangu za dhati kwa mmiliki wa Kiwanda cha Jambo Ndugu Salum kwa ubora wa hali wa juu wa Maji yanayotoka Kiwandani kwake. Maji haya ni masafi na yana ladha tamu sana. Hata kifungashio kinavutia sana. Kwa sasa maji haya natumaini huwezi kulinganisha na maji yanayotoka kwenye viwanda vingine katika nchi hii. Hongera sana Kiwanda cha Jambo.[/QUOTE]
hilo
 
Nitoe pongezi zangu za dhati kwa mmiliki wa Kiwanda cha Jambo Ndugu Salum kwa ubora wa hali wa juu wa Maji yanayotoka Kiwandani kwake. Maji haya ni masafi na yana ladha tamu sana. Hata kifungashio kinavutia sana. Kwa sasa maji haya natumaini huwezi kulinganisha na maji yanayotoka kwenye viwanda vingine katika nchi hii. Hongera sana Kiwanda cha Jambo.
Weka pcha ya hayo maji
 
Ushabikini hatari sana. Unazijua parameters zinazotumika kujua kiwango cha ubora wa maji?Utakuwa umekurupuka
 
Chadema watapinga
Kwa vile tu una akili zinazo waza ukabila mda wote nadhani ubongo umevilia wewe maana nimekuelewa vyema sana kuhusisha chadema na hilo bandiko lakin kifupi jambo haifiki hata robo ya ubora wa MAJI YA KILIMANJARO, Nadhani nimezitendea haki fikra zako ndogo.
 
Back
Top Bottom