Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,250
- 24,082
Nadhani moja ya kazi ngumu kabisa kwangu ambayo siwezi kufanya ni kuimba kwaya pamoja na kushona sare hasa za vitenge!.
Wanaume mnaimba kwaya mnastahili pongezi mwenzenu yameshanishinda.
Ile kusema tu nawahi zoezi la kwaya Daaah huwa nikisikoa mwanaume anasema hivyo hadi nastuka!
Kwamba wenzetu mnawezaje wakuu?
Wengine kwenda kwa fundi kushona suruali ya kitambaa ni mziki mwingine hii kwenu inawapa wepesi kivipi mnashona sare mfanano na wanawake.
Mara yangu ya kwanza na mwisho kuimba kwaya ni pale nahitimu darasa la saba. Niligundua habari za kwaya si pigo zangu.
Maana pamoja na kufundishwa style za kucheza siku ya mahafari niliona kabisa hii ni adhabu kubwa kwangu.
Anyway hongereni sana wenzenu hatuyawezi kwa hakika.