Jana usiku kulikuwa na ufunguzi wa michezo ya CHAN baina ya Taifa stars na Burkina Fasso.
Hongereni sana Taifa Stars kwa kufanikwa kuwafunga timu ya Burkina Fasso magoli mawili kwa sifuri. Jana timu ilicheza kwa maelewano mazuri na ninatumaini kwa michezo inayofuata hawatatuangusha Watanzania. Mtaendeleza ushindi kama ilivyokuwa jana.
Hongereni sana.