Pongezi kwa Said Kubenea na familia yake! Hongereni kwa wanamabadiliko

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Kwa dhati kabisa na kutoka kwenye sakafu ya moyo wangu napenda kumpongeza mwandishi maarufu ndugu Kubenea kwa kuweza kutinga mjengoni.Pili napenda afikishe salamu zangu nyingi za pongezi kwa mkewe kwa kufanikiwa kuwa mmoja wa wabunge wa viti maalum (pongezi hizi ziwe pending mpaka nithibitishe)

Wote tuimbe mabadiliko ...kubenea ...kubenea...mabadiliko.
attachment.php
 
Attachments

  • IMG-20151111-WA0000.jpg
    IMG-20151111-WA0000.jpg
    20.8 KB · Views: 8,798
kubenea ni kajibwa ka mbowe, atamtumia sana kwenye kuua wapinzani wake..
 
Ungempongeza Kikwete mkewe Mjumbe wa Halmashauri kuu toka Lindi, mwanawe Mbunge wa Chalinze na mwanawe mwingine anamiliki maneno machafu dhidi ya wapinzani wa CCM!

kilewella

huwezi ukaiga upuuzi wa CCM, unakuwa mpuuzi zaidi

mabadiliko ni kufanya tofauti na CCM....unaposema afanye reference ya CCM unaonyesha chama chako ni kama CCM

Ebu ficha ID yako......na upumbavu wako
 
mkewe anaitwa nani?hiyo ndo CHADEMA
Victorie umeifuatilia CCM? Kippi ni mtoto wa Warioba aligombea ubunge Kawe, Mwele Malecela aliingia kwenye kura za maoni ngazi ya Urais ndani ya CCM. Celina Kombani alipokufa Mtoto wake akarithi nafasi yake, Hapa kwetu Venance Mwamoto ni Mbunge wa kilolo dada yake Rita kabati aligombea Ubunge viti maalum, Samweli Sitta anagombea Uspika wa Bunge mkewe ni mbunge wa Urambo! Orodha ni ndefu!!
 
kilewella

huwezi ukaiga upuuzi wa CCM, unakuwa mpuuzi zaidi

mabadiliko ni kufanya tofauti na CCM....unaposema afanye reference ya CCM unaonyesha chama chako ni kama CCM

Ebu ficha ID yako......na upumbavu wako
Wapi kitufe nikupe like mkuu...
 
Kwa dhati kabisa na kutoka kwenye sakafu ya moyo wangu napenda kumpongeza mwandishi maarufu ndugu Kubenea kwa kuweza kutinga mjengoni.Pili napenda afikishe salamu zangu nyingi za pongezi kwa mkewe kwa kufanikiwa kuwa mmoja wa wabunge wa viti maalum (pongezi hizi ziwe pending mpaka nithibitishe)

Wote tuimbe mabadiliko ...kubenea ...kubenea...mabadiliko.
Kama huna uhakika mpaka uthibitishe, hapa ndiyo sehemu ya pending msg au Invisible na Moderator ndiyo wamekwambia uweke hapa taarifa ambazo hujathibitisha
 
Last edited by a moderator:
Victorie umeifuatilia CCM? Kippi ni mtoto wa Warioba aligombea ubunge Kawe, Mwele Malecela aliingia kwenye kura za maoni ngazi ya Urais ndani ya CCM. Celina Kombani alipokufa Mtoto wake akarithi nafasi yake, Hapa kwetu Venance Mwamoto ni Mbunge wa kilolo dada yake Rita kabati aligombea Ubunge viti maalum, Samweli Sitta anagombea Uspika wa Bunge mkewe ni mbunge wa Urambo! Orodha ni ndefu!!
Hao wanagombea kwa kuatafura kupewa kura na wananchi,je huyu mke wa kubenea kagombea jimboni?kwani anaitwa nani?ndo swali langu la msingi kaka
 
Khaa!! Kubenea huyu kahaba wa maslahi ya kisiasa?? Nilikuwa namkubali sana lakini toka alipojivua utu wake na kuanza kutumika kwa malipo ya kupewa ubunge namuona mlevi tu kama walevi wengine :cool:
 
kilewella

huwezi ukaiga upuuzi wa CCM, unakuwa mpuuzi zaidi

mabadiliko ni kufanya tofauti na CCM....unaposema afanye reference ya CCM unaonyesha chama chako ni kama CCM

Ebu ficha ID yako......na upumbavu wako

Hivi tufanye Kafulila akashinda kesi yake na kuwa Mbunge je mtakuja tena humu kuzungumzia Ubunge wa Mkewe wa Viti Maalum kupitia CHADEMA? Kabla ya kuja ma hayo maneno yenu ni vema mkatuwekea hapa vigezo vilivyotumika na CHADEMA kuteua hao wabunge wa viti maalum na tuone kama huyo mke wa Kubenea hakupita kihalali na kupatiwa nafasi hiyo, lakini kwa upande wa pili Kubenea ni mwanachama na mtu wa kawaida ndani ya CHADEMA nafikiri kama ingekuwa aliyeteuliwa ni mke wa Mbowe labda hapo mngeweza kuleta haya maneno yenu kama vile alivyokuwa akifanya huyu kiongozi wa nchi anayemaliza muda wake.
 
kilewella

huwezi ukaiga upuuzi wa CCM, unakuwa mpuuzi zaidi

mabadiliko ni kufanya tofauti na CCM....unaposema afanye reference ya CCM unaonyesha chama chako ni kama CCM

Ebu ficha ID yako......na upumbavu wako
Tatizo siyo watu kutoka familia moja, bali wanapatikanaje. unadhani Jeb Bush amewaiga CCM au CHADEMA katika kugombea nafasi ya Urais wa Marekani wakati Baba yake na Kaka yake wote wawili walishawahi kuwa Rais wa nchi hiyo? Raila Odinga siyo mtoto wa Jaramongi Odinga Odinga. Na rais wa sasa wa Kenya Uhuru Kenyatta siyo mtoto wa Jomo Kenyatta?

Mimi hoja yangu ni kwamba watu wa familia moja kuwa kwenye siasa si dhambi, dhambi ni kama nafasi hiyo wanaipata kwa upendeleo dhidi ya wengine wenye sifa zaidi yao, na Mudawote hajatuambia kama kwa huyo "Mke wake" Kubenea imetendeka hivyo!

Na wewe ficha ID yako... na upumbavu wako pia!!
 
Khaa!! Kubenea huyu kahaba wa maslahi ya kisiasa?? Nilikuwa namkubali sana lakini toka alipojivua utu wake na kuanza kutumika kwa malipo ya kupewa ubunge namuona mlevi tu kama walevi wengine :cool:

Duuu!!! Kumbe alizawadiwa ubunge na Masaburi, haiwezekani itabidi tukamshitaki Masaburi
 
Back
Top Bottom