Wauza unga mafisadi wote hutoa pesa kujionyesha na kuficha madhambi yaoBinafsi namkubali sana,na ana moyo wa kujitoa sana kuliko tunavyodhana,na ni mtu wa huruma asiye na makuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni rum mixer mnaziHivi ndio vinywaji gani?
Acha kutaja jina la Allah dhidi ya huyo muovu mtekaji.Mpaka leo hajasema siku lissu anashambukiwa risasi alikua wapi an anafanya nini?
Anadhulumu wahindi wa watu pesa kisha anakuja kujisafisha mbele ya jamii kwa kutoa misaada.
Hembu muulize hizo pesa kazipata wapi?kama siyo haramu tupu
Wewe ni jua?
Tangu lini mwanadamu akawa jua?
Unaota nini?
Haya jua waka!
Who cares?
Wewe ni jua?
Tangu lini mwanadamu akawa jua?
Unaota nini?
Haya jua waka!
Who cares?
Wewe itakuwa ulikuwa muuza ngada,mh kawafurusha umejenga chuki,maana si kwa chuki hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Umegeuka mpiga ramli?
Unanijua?
Hunijui,what chu said is wrong,piga ramli again huenda ukapatia!
Makonda kanifanya nini?Nothing
Ni mpumbavu kama ulivyo wewe na wengine wa aina yako ya kujipendekeza kwa mwenye cheo!
Good riddance!
Nn sisis tuna nukuu alichooandika huyu mfuasi wa makondaMhhh
Hahahaha kwa maneno haya atakua kajifunza
Makonda anasaidia sana na ana moyo,ila hana nyota ya kupendwa au alianza siasa zake vibaya,ukitaka kujua hilo ndo maana tunamzungumzia hapa،chochote atakachofanya itaonekana ni kiki tu,ila anasaidia sana,yaani nature yenyewe tu imemkataa
Sent using Jamii Forums mobile app