ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,320
- 50,538
Ni karibu miezi minne sasa tangu serikal ya magufuli iingie madarakan. Mimi kama mwananchi wa kawaida nawaunga mkono mawaziri wafuatao kwa kazi nzuri na hatua wanazochukua
Waziri wa ujenz na uchukuzi. Mhesimiwa mbarawa ameonesha uchapakazi kwa muda mfupi alioanza. Wengi ni mashahidi kwa jinsi anavofuatilia miradi mingi ya ujenz
Mwingine ni MWigulu nchemba, huyu ametupa sana ushirikiano tokea ateuliwa hongera za dhati kwake
Waziri mwingine ninayempongeza kwa kazi nzuri ni waziri wa ardhi lukuvi. Mchapakazi asiyeogopa kitu.
Mpaka sasa mawaziri hao ndio wameonyesha kwenda na kasi yetu. Big up kwenu serikali kwa ujumla