DOFFA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 425
- 233
Pamoja kasoro chache naona jeshi letu limebadilika sana kwa kuwa wakali barabarani na kufuatilia kwa karibu mienendo ya baadhi ya vyombo vya moto ambavyo watumiaji wake wanashindwa kufuata kanuni na sheria,hongera rais,hongera IGP,hongera Kamanda MPINGA.
USHAURI:Uwazi zaidi unahitajika hasa kwenye sheria za usalama barabarani na taarifa mpya kwa watumiaji wa vyombo vya moto mf.sticker na bei yake,viakisi mwanga n.k
NI VIZURI MAELEKEZO YOTE YA JESHI LA POLISI NA KITENGO CHA USALAMA BARABARANI YAPATIKANE KWENYE TOVUTI YA JESHI.