Pongezi kwa Benard Cammilius Membe

Jibu litakuja mwishoni mkionyesha usitarabu,🏃
 
Nimenunua headphone mpya na miwani ya mbao nafuatilia hii movie kwa makini
 
Membe hapambani na mtu CCM...
Membe ni Crisis Actor ikiwa ni sehemu ya Ujasusi....
Atahamia Chadema ili atengeneze upinzani feki...
Makamba na Kinana watakuwa kwenye kampeni kumnadi Magufuli
Isipotokea haya nidai $100.00
Upo sahihi

Watanzania ni watu rahisi sana kusahau cheki yaliyowakuta watu na lowassa

Kusikia kwa kenge mpaka atoke damu
 
Jamaa huwa namuonaga ni overrated. Sijawahi kusikia record yake ya kiutendaji hata siku moja, zaidi zaidi nakumbuka controversial statements zake tu.

Mtu anayetufaa sasa hivi ni Tundu Antipass Lissu.
 
Kiherehere gani boya wewe, nmekuuliza ana ushushu gani anadukuliwa easy namna hiyo, huna kithibitisho ni shushushu
na Mimi nikakuuliza mbona marehemu anadukuliwa na wadudu uko kaburini haujajibu?
 
Mkuu unaonekana kukerwa sana
 
Kwamba Lowasa naye alikuwa anafanya "sanaa ya kisiasa"?
Mzee hilo hujalijua mpaka leo

Mimi nliacha ushabiki wa siasa pale tu lowassa alipohamia chadema na nkajua watampitisha kugombea uraisi

Nliacha hapo fasta na sitogeuka nyuma tena

Acha nijenge maisha ya mwanangu swalehe
 
2020 CCM tuleteeni Bernard Cammilius Membe "Nyundo" , Kamarade asiyehitaji kuongea saana kuonyesha kuwa ni kamanda makini aliyekamilika asiyeogopa kitu isipokuwa wananchi baaasi
Tatizo kete ipo dhidi yake. Anajifariji aonekane nguli ndani ya moyo anajua hana nafasi hata uliyeleta hii mada unalielewa hili. Membe kishajua hawezi kusubiri 2025 hivyo anatafuta njia ya kufukuzwa ama kujiondoa ccm ili apate kura za huruma ambazo atazipata kwa baadhi ya wanamitandao wewe ukiwa mmojawao lakini tusiwasemee watanzania najua fika 2020 hahitaji kampeni kubwa kama 2015 hata Mbowe Lissu Zitto na Membe wanalinua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…