Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,135
- 28,598
HAo wachache watakao leta ukaidi nashauri JWTZ wapewe special opersheni kuwaondoaIeleweke vizuri kabisa kuwa hakuna Mmasai aliyeondoka huko kwa Hiari.
Hiari gani hiyo?
GENOCIDE IS GENOCIDE
HAo wachache watakao leta ukaidi nashauri JWTZ wapewe special opersheni kuwaondoaIeleweke vizuri kabisa kuwa hakuna Mmasai aliyeondoka huko kwa Hiari.
Hiari gani hiyo?
GENOCIDE IS GENOCIDE
Na kweli wamasai wetu hawakuhusu wewe mkenya na ardhi yetu pia haiwahusu nyinyi Wakenya. Ila mimi eneo lolote lilo ndani ya ardhi ya Tanzania linanihusu. Ndo maana nina uwezo wa kwenda kuishi popote iwe Ngorongoro, Handeni, Tunduma nk bila pasport wala visa. Na pia kama haujui wewe Mkenya wa kimasai.. Hapa kwetu ardhi yoyote ya Tanzania ni mali ya serikali chini ya raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndio maana magaidi kutoka Kenya au Somalia mkivamia huko Loliondo na silaha zenu, basi mtapambana na jeshi la wananchi wa Tanzania, ambalo limeundwa na watanzania kutoka mikoa mbali mbali ya Tanzania, na sio wamasai au wanavijiji wa eneo hilo. Umeelewa wa Mkenya wa kisumu?Hawanihusu.
Ardhi siyo yenu.
...wala sio ya Wakenya.
"NGORONGORO NI YA WAMASAI"
STOP THE GENOCIDE
Mbona unatia shaka kwenye uelewa wako ndugu maana wamasai wenyewe wanasema wanaondoka kwa hiari na wewe tena unasema hakuna anae ondoka kwa hiari io imekaaje.?Ieleweke vizuri kabisa kuwa hakuna Mmasai aliyeondoka huko kwa Hiari.
Hiari gani hiyo?
GENOCIDE IS GENOCIDE
Mkuu acha kujionyesha kwa jamii ni kwa jinsi gani uelewa wako upo chini sasa wanyama ata wakizaliana unataka wahamishiwe wapi wakati hapo ndio makazi yao lakini masai wao inatakiwa wahamie kwa binadamu wenzao ili ata kama wakizaliana kusiwe na muingiliano mkubwa na wanyamaMkuu,
Umang'ang'ania "Wanazidi kuzaliana" kama vile ni jambo baya. Umeshajiuliza au kujadili na Hao "wanyama" wanaozaliana huko nao Wahamishwe?
Unashabikia utalii wakati hakuna hoja yeyote ile iwe ya Serikali, ya Viongozi, Jumuiya za kimataifa ambayo inadai kuwa Uhamisho wao ni kwa faida ya Utalii.
Una yako/yenu. msije mkaja kutalii mafuvu.
Amani ikufikie
Wacha uongo. Stop the Disinformation. Stop the Misinformation. and STOP the GENOCIDE.
Ha ha ha utaishia ivyo ivyo mkuu usi force ulivyo kalilishwa wewe na mimi nikalili the sameSiyo swala la uelewa ni swala la kukemea nyie kuharibu lugha yetu adhimu ya Kiswahili..
Hao unaowapongeza ni kenge kwenye msafara wa mambaHabarini za Asubuhi
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi napenda kuwapongeza wamasai walio amua kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kwasababu pale Ngorongoro hawana cha kurithi ni bola ata waende Msomela ata watoto na wajukuu watajua makazi ya vizazi vilivyopita yako wapi na watakua na cha kurithi watakua na mashamba nk kuliko kukaa hifadhini Ngorongoro bila kujenga nyumba nzuri bila umeme hakuna kuendeleza chochote maana sheria za hifadhi haziruhusu
Nawapongeza sana watafurahia maisha pale Msomela
Naomba kuwasilisha.
Huyo jamaa ni mmasai wa mchongo kutoka Kenya. Hawa watu mbona siku hizi ni rahisi sana kuwatambua mkuu. Kama haukumtambua kwa matendo yake basi utamtambua kwa maneno yake nk. Easy sana kuwajua hawa watu. Kumuelewesha mtu aliekuwa anataka kufanya ardhi yetu shamba la bibi na baadae ikatumika nguvu kumrudisha huko alipotumwa na mabwanyenye wake sio jambo zuri kwa yeye kukuelewa.Mbona unatia shaka kwenye uelewa wako ndugu maana wamasai wenyewe wanasema wanaondoka kwa hiari na wewe tena unasema hakuna anae ondoka kwa hiari io imekaaje.?
Shaka ndio inayotakikana na hili.Mbona unatia shaka kwenye uelewa wako ndugu maana wamasai wenyewe wanasema wanaindoka kwa hiari na wewe tena unasema hakuna anae ondoka kwa hiari io imekaaje.?
Hivi kuna aina ngapi za wamasai maana huku morogoro pamoja na kuwa na ngombe wengi pia wanajenga nyumba nzuri.watakua na cha kurithi watakua na *mashamba * nk kuliko kukaa hifadhini Ngorongoro bila kujenga nyumba nzuri bila umeme hakuna
Hii inaonesha hata haujui asili ya wamasai, thamani ya kutunza mila na desturi. Maendeleo sio kuharibu asili na desturi za watu.
Habarini za Asubuhi
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi napenda kuwapongeza wamasai walio amua kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kwasababu pale Ngorongoro hawana cha kurithi ni bola ata waende Msomela ata watoto na wajukuu watajua makazi ya vizazi vilivyopita yako wapi na watakua na cha kurithi watakua na mashamba nk kuliko kukaa hifadhini Ngorongoro bila kujenga nyumba nzuri bila umeme hakuna kuendeleza chochote maana sheria za hifadhi haziruhusu
Nawapongeza sana watafurahia maisha pale Msomela
Naomba kuwasilisha.
Uko sawa mkuu,Mkuu acha kujionyesha kwa jamii ni kwa jinsi gani uelewa wako upo chini sasa wanyama ata wakizaliana unataka wahamishiwe wapi wakati hapo ndio makazi yao lakini masai wao inatakiwa wahamie kwa binadamu wenzao ili ata kama wakizaliana kusiwe na muingiliano mkubwa na wanyama
Hayo machache juu ni moja ya kinzani za hoja za washabiki wa Uangamizaji wa Wamasai. Je ulishwahi kusikia wao wakilalama na muingiliano na Wanyama hao....kwa zaidi ya karne ziliotupita wengi wetu?Mkuu acha kujionyesha kwa jamii ni kwa jinsi gani uelewa wako upo chini sasa wanyama ata wakizaliana unataka wahamishiwe wapi wakati hapo ndio makazi yao lakini masai wao inatakiwa wahamie kwa binadamu wenzao ili ata kama wakizaliana kusiwe na muingiliano mkubwa na wanyama
kuna mnyama mweny hati ya eneo lolote hapo NCAMkuu acha kujionyesha kwa jamii ni kwa jinsi gani uelewa wako upo chini sasa wanyama ata wakizaliana unataka wahamishiwe wapi wakati hapo ndio makazi yao lakini masai wao inatakiwa wahamie kwa binadamu wenzao ili ata kama wakizaliana kusiwe na muingiliano mkubwa na wanyama
La hasha, sito toa ufahamu, kuwepo na uwezekano hata wa baadhi yao(Jeshi la Wananchi) Kujiuzulu. Hata hivyo kwa Taarifa zilizopo ni Polisi Wanaohusika. Wapo walio athirika kibinafsi na wapo walioathirika kwa matendo...kwa uhakika sio jambo jema kuona wakipoteza maisha yao-vilevile siwezi kujifanya au kupuuza kujeruiwa au vifo kwenye pande zote.HAo wachache watakao leta ukaidi nashauri JWTZ wapewe special opersheni kuwaondoa
Well Noted Mkuu....Wajf wengi humu hawajui kama wamasai waliopo Ngorongoro ni geresha tu, hao jamaa wamejitoshereza kwa kila kitu, yaani kule polini ni sehemu ya kuhifadhia mifugo na kujineemesha kutokana na hifadhi
Maasai hao wamewekeza sana Arusha mjini, karatu na Loliondo, wana majumba, magari na mifugo mingi sana na baadhi yao wamesoma na wana elimu ya juu, ila wanawatumia wale walioitwa primitive kujineemesha kimaisha/kiuchumi
👉🏾Kaa chonjo.
Hayo siyo niliyasemaNa kweli wamasai wetu hawakuhusu wewe mkenya na ardhi yetu
Usinijaze maneno na KuhisiNakuhakikishia kuwa huu ndio mwisho wa wakenya na vibaraka wao kuishi, kulima na kulisha mifugo yao katika ardhi yetu kwa kisingizio cha umasai wa mchongo.
Asil ipi inaharibiwa, wakati wamasai Kwa Sasa wapo kila sehemu na wanafanya vitu tofauti na asili Yao. Maisha ynabadilika na wana Haki ya kusaidiwawatakua na cha kurithi watakua na *mashamba * nk kuliko kukaa hifadhini Ngorongoro bila kujenga nyumba nzuri bila umeme hakuna
Hii inaonesha hata haujui asili ya wamasai, thamani ya kutunza mila na desturi. Maendeleo sio kuharibu asili na desturi za watu.
Wewe ni kiazi. Kwemye hifadhi ya wanyama wakuhamishwa ni mnyama au binadamu..? Hembu fikiria tena mkuu. Umeandika utopolo mno. Wanyama hata wazaliane hapo wakizidi wakuchinjwa watachinjwa sawa. Au hujui kuna mabucha ya nyama pori.?Mkuu,
Umang'ang'ania "Wanazidi kuzaliana" kama vile ni jambo baya. Umeshajiuliza au kujadili na Hao "wanyama" wanaozaliana huko nao Wahamishwe?
Unashabikia utalii wakati hakuna hoja yeyote ile iwe ya Serikali, ya Viongozi, Jumuiya za kimataifa ambayo inadai kuwa Uhamisho wao ni kwa faida ya Utalii.
Una yako/yenu. msije mkaja kutalii mafuvu.
Amani ikufikie
Wacha uongo. Stop the Disinformation. Stop the Misinformation. and STOP the GENOCIDE.
Utahamishwq kwa lazima mmasai wewe na hakuna kitu utafanya. Eti ngoro ngoro ni ya wamasai unasemaje..? 🤣🤣🤣 ardhi yote ya Tanzania ni mali ya serikali mkuu. UsinichekesheMkuu,