ashy da don
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 615
- 671
- Thread starter
- #21
mkuu mimi hiyo imeniathiri hadi sasa nilipo nawachukia makondakta wa daladala! nawachukia kutoka moyoni.... walisababisha nlichelewa sana vipindi shuleni!!
Dah ni kweli mkuu ilkua purukushani enzi hzo ilifika hatua mpaka kupigana nao. Ila haina budi kuwasamehe na kuwa na utaratibu wa kuwasaidia wanafunzi wawapo vituoni,ili wasichelewe kama ulivokuwa unachelewa wew