Huyo Kitila amesema yeye sio kiongozi cdm.......alijiondoa kitambo kwa mujibu wa barua yake kwa muajiri wake udsm.Kitila hiyo ndo style yake hakuwa na siasa za jukwaani wala media zaidi siasa zake ktk mitandao ya kijamii tofauti na Zitto ambaye ni mbunge na tunajua ubunge sio siasa za chumbani ni lazima upande jukwaani labda wale wa kuteuliwa na Rais kwa hiyo siasa unapotuhumiwa unatakiwa ujibu haraka iwezekano sio kukaa kimya tu......!nijuavyo mimi Zitto amewa influence vijana wengi kuingia katika siasa na amejaribu kujenga hoja nyingi zenye mashiko kuliko wabunge wengine .......nadhani ifikia kipindi cdm imsamehe Zitto ili wakijenge chama.
Wana Jf nimefurahishwa sana na tabia ya dr. Kitila Mkumbo,nimemfuatilia sana tangu zilipoibuliwa tuhuma dhidi yake pamoja na Zitto na Samson Mwigamba,amekuwa katika hali ya utulivu mkubwa kuliko watuhumiwa wenzie.
Maana baada ya kamati kuu kuwavua nyadhifa zao na kuwapa siku 14 dr amejitokeza mara mbili tu kwenye media kuzungumzia suala hilo.
Kutokana na sababu hiyo nimeanza kuamini kwamba maneno aliyosema kwenye kamati kuu kwamba aliingizwa tu kwenye mkenge na Zitto pamoja na Mwigamba ni ya kweli.
Nasema hivyo kwa sababu ukiangalia baada ya wote wa 3 kurudisha fomu zilizokuwa na mashtaka 11, dr. Mkumbo amekuwa kimya akisubiri hatma yake,tofauti na wenzie ambao wameendelea kuhangaika kwa kisngizio cha kupigania haki yao ndani ya chama hata kabla ya chama kutoa hitimisho.
Zitto Kabwe ndio huyo yuko Kigoma akiomba huruma ya wananchi,Mwigamba ndio huyo katia timu kwa msajili wa vyama.
Swali linakuja ni kwanini hawa wawili wanatafuta utetezi nje ya chama chao mapema?Na kwa nini dr. Mkumbo katulia akisubira maamuzi ya vikao vya chama?
Je ni kutofautiana kwa viwango vyao vya elimu ndio kulikowatofautisha?Hakika dr. Mkumbo umenikosha sana na ukimya wako hivyo kuthibitisha kwamba hakika ww ni msomi uliye elimika.
GUILTY ARE ALWAYS AFRAID.
Hongera sana dr. Mkumbo.
Nawasilisha.
CHADEMA bana wanafurahisha, ukikubaliana na upuuzi wa wakina Lema, Mbowe, Slaa na Josephine unaonekana shujaa, una hekima na msomi. Ukiwapinga kwa ubadhirifu wao na uhafidhina unaonekana msaliti! Zitto ndio main character hapa hao wengine walikuwa wancheza supporting roles tu! usiwafananishe! Zitto has a lot at stake!
Kitila maefanya sana siasa za jukwaani...Umesahau kisa cha kule Iramba walipokuwa na Mnyika na Mwita Waitara mpaka Mwigulu Nchemba akatuma vijana wakafanye fujo kwenye mkutano? Unaposema Zitto asamehewe unamaanisha nini wakati mwenyewe hajaomba msamaha wala hajakiri makosa? Mtu akikana mashtaka, kazi ya mtoa mashtaka huwa ni kuthibitisha hayo mashtaka na baada ya haponi hukumu sio msamaha tena......Wahafidhina watawezaje kufanya kazi na Mwana demokrasia Zitto? Wenye Elimu ya maghumashi watafanyeje kazi na wenye elimu kubwa? Ni jambo lisilo wezekana kabisaHuyo Kitila amesema yeye sio kiongozi cdm.......alijiondoa kitambo kwa mujibu wa barua yake kwa muajiri wake udsm.Kitila hiyo ndo style yake hakuwa na siasa za jukwaani wala media zaidi siasa zake ktk mitandao ya kijamii tofauti na Zitto ambaye ni mbunge na tunajua ubunge sio siasa za chumbani ni lazima upande jukwaani labda wale wa kuteuliwa na Rais kwa hiyo siasa unapotuhumiwa unatakiwa ujibu haraka iwezekano sio kukaa kimya tu......!nijuavyo mimi Zitto amewa influence vijana wengi kuingia katika siasa na amejaribu kujenga hoja nyingi zenye mashiko kuliko wabunge wengine .......nadhani ifikia kipindi cdm imsamehe Zitto ili wakijenge chama.
Pasco, na wewe Pamoja na unguli wako katika Medani za uchambuzi wa Siasa unaamini Kabisa Zitto hakuwa aware na ule waraka ????Naunga mkono hoja ya ukimya wa Dr. Kitilla ila pia
Kuna ukimya wa aina mbili, ule ukimya wa mtu hana la kusema na ule ukimya wa kuamua tuu kutosema!.
Kuna ukimya wa kusubiria hatima, ila ila kama tayari umeishaijua hatima, huna haja ya kuisubiria kimya!.
Dr. Kitilla anaisubiria hatima!, Zitto anaijua tayari!, wala hausubirii!.
Ila pia kuna kimya kingi chenye mshindo mkuu!.
Pia shishangai kama walivyo kuku, kuna kuku akishikwa kuchinjwa, anatulia tuu anachinjwa kama afanyavyo kondoo!, na kuna kuku akishikwa kuchinjwa, lazima akukuruke!.
Kwenye tuhuma zozote, ukimya ni admission of guilt, Dr. Kitilla alikubali tangu day one, kuwa yeye ndie initiator wa ule waraka na kumshirikisha Mngamba!, hivyo kunyamaza na kusubiria ni halali yake!.
Zitto anasingiziwa!, hatma yake iliishaamuliwa siku nyingi!, alikuwa anatafutiwa sababu tuu!, kwa nini anyamaze?!. Atulie tuu achinjwe kama yule kuku kondoo?!.
Pasco.
Hali halisi hakuna sababu ya kuhangaika huku na kule wakati amepeleka hoja za kujenga utetezi kwenye uongozi wa juu chamani. Alichofanya Kitila Mkumbo ni sahihi, maana kwa sababu za msingi anachofanya Zitto na mwenzake Mwigamba hazina msingi wakati hatima yao bado hijafikiwa na wala kuitwa katika jopo la kujenga utetezi wao. Sasa povu lote analotoa huko Kigoma na kuvimbisha mishipa kwamba anazunguka nchi nzima kuna mantiki gani?
Nani anaratibu na kugharimia mikutano hiyo ya Zitto kama sio CCM ambayo imeacha suala zito la mawaziri kujiuzuru kwa kashfa ya kushindwa kazi wao wako busy na Chadama? Kinachoendelea CCM inafanya kila liwezekanalo Zitto asiondoke Chadema kwa vile ni chombo muhimu kwao ndio maana wako kwa hali na mali kuhangaikia hilo kuliko yanayowasibu.
Zitto anazidi kuonyesha uwezo wake wa kupima na kusoma nini kifanyike na nini kisifanyike kupwaya mno, na kwamba hekima na busara hana. Hata ile kitu inaitwa common sense hana. Hata taratibu kama za mahakama huwa kesi ikiwa katika mwenendo basi huna budi kusitisha kuzungumzia hadi uamuzi utakapofikiwa, vinginevyo anachofanya sasa anaharibu mwenendo wa kesi yake.
Mkuu Bramo, naamini Mbowe anaujua ukweli halisi, Dr. Slaa anaujua ukweli halisi na kila mwenye akili tiumamu anaujua ukweli halisi ukiwaondoa wale waliozikabidhi akili zao kwa viongozi wa Chadema ndio pekee wasiujua ukweli kwa sababu akili za kuujua ukweli wamezikabidhi!.Pasco, na wewe Pamoja na unguli wako katika Medani za uchambuzi wa Siasa unaamini Kabisa Zitto hakuwa aware na ule waraka ????
Ulitaka Dr Kitttila aseme wazi wazi kuwa Zitto alikuwa aware na ule Waraka, huoni kuwa kaamua kusema tu kuwa Zitto hakuwa aware lakini anajua kabisaaa kuwa watu na akili zao watajua what was behind the scene ??? Pasco as days goes on hapa JF binafsi nazidi kuku rank na wale jamaa wa Buku 7 Project Fame Lumumba.
Wana Jf nimefurahishwa sana na tabia ya dr. Kitila Mkumbo,nimemfuatilia sana tangu zilipoibuliwa tuhuma dhidi yake pamoja na Zitto na Samson Mwigamba,amekuwa katika hali ya utulivu mkubwa kuliko watuhumiwa wenzie.
Maana baada ya kamati kuu kuwavua nyadhifa zao na kuwapa siku 14 dr amejitokeza mara mbili tu kwenye media kuzungumzia suala hilo.
Kutokana na sababu hiyo nimeanza kuamini kwamba maneno aliyosema kwenye kamati kuu kwamba aliingizwa tu kwenye mkenge na Zitto pamoja na Mwigamba ni ya kweli.
Nasema hivyo kwa sababu ukiangalia baada ya wote wa 3 kurudisha fomu zilizokuwa na mashtaka 11, dr. Mkumbo amekuwa kimya akisubiri hatma yake,tofauti na wenzie ambao wameendelea kuhangaika kwa kisngizio cha kupigania haki yao ndani ya chama hata kabla ya chama kutoa hitimisho.
Zitto Kabwe ndio huyo yuko Kigoma akiomba huruma ya wananchi,Mwigamba ndio huyo katia timu kwa msajili wa vyama.
Swali linakuja ni kwanini hawa wawili wanatafuta utetezi nje ya chama chao mapema?Na kwa nini dr. Mkumbo katulia akisubira maamuzi ya vikao vya chama?
Je ni kutofautiana kwa viwango vyao vya elimu ndio kulikowatofautisha?Hakika dr. Mkumbo umenikosha sana na ukimya wako hivyo kuthibitisha kwamba hakika ww ni msomi uliye elimika.
GUILTY ARE ALWAYS AFRAID.
Hongera sana dr. Mkumbo.
Nawasilisha.
Hapo ndipo alipobanwa maana hata kazi amesimamishwa sasa hana kwa kwenda anasubiri huruma yake na mwaajili wake tu
kumbe umeona umhimu wa elimu? mbona kwenye waraka waliposema ""elimu ya mkuu wa taasisi si tu ni ndogo bali pia ni ya maghumashi"" mlikasirika? kumbe waraka ulikuwa sahihi!!

Vijana wa CHADEMA wanahitaji kufundwa
''Nawashauri viongozi wa CHADEMA kuchukua hatua muhimu za kuwafunda vijana wa BAVICHA ili ubalehe wao wa kisiasa upite bila madhara kwa chama. Kufundwa huko ni pamoja na kuwafundisha namna ya kufanya kazi na vyombo vya habari. Wanahitaji kuhariri matamko yao sawa sawa, na kabla ya kuyatoa wapime athari za matamko yao kwa chama. Ukiona wewe ni kiongozi wa CHADEMA unatoa tamko na tamko hilo linapamba vichwa vya habari vya magazeti pinzani kwa chama chako kama vile Uhuru, ujue tamko lako limekiumiza chama.''
Naunga mkono hoja ya ukimya wa Dr. Kitilla ila pia