Nichukue fursa kutanguliza Pongezi zangu za dhati kwa Dkt. Shein kwa mazuri aliyofanya kwenye uongozi wake hapa Zanzibar. Ni nadra sana kupata kiongozi mwenye maono ya aina ya huyu Rais. Maana uchumi umekua imara tofaut n mwaka 2010, miundo mbinu imeimarika. Hongera tena, jumapili ikifika watu wajitokeze kwa wingi kumpa kura za ndio. ZANZIBAR ni yetu sote. Amani na utulivu vitamalaki