Pondamali na manyika

Pondamali na manyika

Masuke

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2008
Posts
4,610
Reaction score
1,270
Nipo hapa nawaangalia Juma Pondamali na Peter Manyika kwenye kipindi cha michezo cha EATV, kila mmoja anajisifu na kumkandia mwenzake, lakini cha ajabu si katika fani zao zile za zamani bali ni katika muziki, hawa jamaa ni balaa. Itabidi wadau wa Yanga mnunue kazi zao ili kuwainua kiuchumi inaonekana wakati wanafanya kazi Yanga haikuwalipa vya kutosha.
 
Back
Top Bottom