BADILI DINI NA UWE MKRISTO ILI UWE NA UPENDO, HEKIMA, NA uchaji mzuri wa mungu. shule zote alizotaifisha nyerere za missionary zimesomesha waislamu wengi sana haswaa Chidya, forodhani,milambo, tabora boys na tabora girls, kibasila,galanosi, minaki na pugu. kama hujakaa chini na kushukuru kwa hilo basi wewe ni mwarabu mpenda vita.udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka
Wewe kwanza rudi shule ndio umwambie mwezako unafirikiria elimu ina mwisho?
FAHAMU NDUGU LEO YEYE,KESHO WEWE.SIZANI WEWE UTABAKI HAPA DUNIANI milele lazima utakufa.Pondaaaaa, ukishapona karibu SHULE. Soma kidogo tu walau mpaka Form 4 upate akili na umaana wa kile unachokipigania. Ni kama bado upo gizani vile!
BADILI DINI NA UWE MKRISTO ILI UWE NA UPENDO, HEKIMA, NA uchaji mzuri wa mungu. shule zote alizotaifisha nyerere za missionary zimesomesha waislamu wengi sana haswaa Chidya, forodhani,milambo, tabora boys na tabora girls, kibasila,galanosi, minaki na pugu. kama hujakaa chini na kushukuru kwa hilo basi wewe ni mwarabu mpenda vita.udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka
Kauli kama hizo hapo kwenye bold ndizo zinazowatia waislam hasira na kuona kwamba labda mfumo ulioundwa ndio uliosababisha haya yote hadi kufikia hatua ya kubezwa! Sisi wote ni watanzania hakuna haja ya kubezana, aliebahatika kusoma atumie elimu yake kuliendeleza taifa na kuandaa mipango ya kuwafanya watanzania wengi zaidi wapate nafasi za kusoma bila ubaguzi wa dini kabila au majimbo! Jamii forum members hebu tuweni na hekima tusiwe kama wale wanaokaa vijiweni kuvuta sigara na bangi...
Muombee baba yako afe ili urithi mali. Usimuombee mtu ambaye kifo chake hauta faidika kitu
Allah atamuafu tu,,,,,afya anatupa yeye na uzima anatupa yeye,,,,mwisho wa siku atarejea kwenye siha yake,,,,
FAHAMU NDUGU LEO YEYE,KESHO WEWE.SIZANI WEWE UTABAKI HAPA DUNIANI milele lazima utakufa.
Ni walewale! Rudini shule wote mpate mwanga. Dunia iko huku siyo kule! Kumbuka ni karne ya 21 tunaingia ya 22 na bado mtu wa darasa la saba anakupagaisha!!! teh teh!
Freedom of speech is not a crime in tz anacho kifanya Ponda anaongea mambo ya msingi na haki ya wanyonge
Ndio ujinga wenu huu. Kusoma watu hawakubahatika, WALIDHAMIRIA. Unachojaribu kusema hapa ni kwamba, nyie muwe mnafundishana ujinga na chuki, huku wengine mnawapa jukumu la kubeba mizigo ya kudhorota kwenu.
Uliochotakiwa kusema hapa ni kuwa: Waislam waliosoma wawaeleweshe Waislam wenzao waliwezaje kusoma na kufika walipofika. Kama unafikiria kuna hotuba inaweza kubadilisha maisha ya mtu anayejazwa imani potofu na viongozi wa dini yake basi unajidanganya.
Fursa za kusoma zipo kwa wote, lkn hayo mawazo yenu kuwa labda mpewe upendeleo wa kuendelea mbele hata mkifeli ni utoto. Leo hii mnaandamana Dr. Ndalichako amewaonea hapa na pale, lkn cha ajabu, asilimia kubwa ya waandamani ni wale ambao watoto wao wameishia darasa la 3,4,5 na kuzamia kwenye kupiga debe. Sasa mtoto aliyekacha shule darasa la 5, NECTA imemuonea wapi?
Msipende hadithi tamu na ngonjera za manung'uniko. Kujitazama ni ada ya muungwana na mwenye hekima huzichunguza njia zake. Unapooa wake wa3 na kuzaa watoto 11 ukataraji wanaenda shule na kurudi bila wewe mzazi kujali kama wanaandika, wanafanya home-work na hata kama shuleni kwenyewe wanaingia darasani au lah halafu utegemee watafaulu eti kwa kuwa tu na wao wameenda shule miaka 7 kama mtoto wa baba John huo ni ujinga.
Kusoma ni kuamua. Nimesoma na Waislam pia na wote waliokuwa wamekusudia kusoma walisoma na wengine wakaniacha nyuma.
Huyu mtu angekua na akili angekua kiongozi mzuri kwa kua ni jasiri. Kutokana na ujinga anatumia ujasiri wake kugawa jamii kwa kupandikiza udini. Tumwombea apone na kutafuta kazi ya kufanya akitoka jela kwani kama kiongozi wa dini hafai.Simtetei matendo yake lakini najaribu kuimagine kama baba yangu ningeumia sana kwa hali hiyo ya afya yake, namuombea tu afya njema maana hakuna anayefurahia maradhi.
Hahaha!!! astaghafilulah.Darasa la 7 wapi!? Wakati muft alisema hata kusoma hajui
Mkuu naona suala la wake wengi na watoto limekukaa kweli! waacheni waislam waijaze dunia, nyinyi zaeni mmoja tu au ikiwezekana msizae kabisa, ili muweze kuishi maisha mnayoweza kujipangia wenyewe!!Ndio inavyowafundishe dini yenu muwaombee kifo baba zenu ili mrithi mali? Ama hakika ndio sababu mnataka mahakama ya kugawa urithi kwa wake wa4 na watoto 41
udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka